Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

muache afurahie apendacho wewe nunua tv na kisimbuzi kingine uwe unaangalia chaneli upendazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cartoon au animations..mimi pia napenda sana animations
β€’ Duh, mbona mlikua hamsemi, mpaka nikaaza kufikilia vibaya kuwa mke wangu amepatwa na hili πŸ€”,

β€’ Ndani ukiingia utasikia visauti vya katuni ndo vimetawala.
 
Je nae akikufungulia uzi unapokelea simu chooni itakuwa sawa!
 
Unataka awe anashinda Facebook na insta,tiktok na matakataka kama hayo?
Katuni ni stories and i don't see anything wrong there except you have the Best wife..

Tatizo wewe haupendi katuni basi na wewe unataka wife awe hivyo.



Tatizo wewe haupendi katuni basi na wewe unataka wife awe hivyo

Kweli kabisa mkuu, mimi sipendi katuni, napenda sana movie za kutisha tisha, na za kitalibani 😎, sema mwenzangu ndo too much.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒkulea watoto kwa kuwatunza ndani sio lazima kuwe na geti kubwa na mbwa.
Ni mazingira tu ya mipaka mzazi unawawekea watoto wako na wanakua kwenye makuzi hayo.


πŸ˜ƒπŸ˜ƒkulea watoto kwa kuwatunza ndani sio lazima kuwe na geti kubwa na mbwa
Sawa mkuu, nikahisi labda wale wanao kulia, kwanza fence ya nyumba ni ya umeme, ukuta mrefu, mbwa mkali.
 
Angekuwa anapiga umbea huko barabarani ama kuongea na simu mara kwa mara ungeshamnasa vibao

shukuru amepata faraja ya moyo wake, manake unaonekana humpi mkeo muda wa kutoshaa kuongea nae


manake unaonekana humpi mkeo muda wa kutoshaa kuongea nae
Kutokana na majukumu kama unavyo jua, mda huwa ni mdogo sana, Labda siku za weekends.

Angekuwa anapiga umbea huko barabarani ama kuongea na simu mara kwa mara ungeshamnasa vibao
Kumnasa vibao siyo Rahisi, mimi napenda sana kusikiliza ushauri kabla ya maamuzi.
 
β€’ Shida hamna shida mkuu, ila niliingiwa tu na wasi wasi kidogo, kuwa labda siyo kawaida kwa watu wengine.
β€’ Si unajua tena sisi Vijana tulio kulia vijijini, tunaamin kabisa katuni ni kwa ajili ya watoto tu.
Relax mkuu as long as anatimiza majukumu yake kama mke na mama
 
Aisee mi ni mpenzi wa Cartoon kinoma halafu ni beard king.Sasa watu wanasema na ndevu zako hizo unaziaibisha kupenda katuni mi napenda kinoma.Hasa hasa Animation.
 
Bora wako cartoon mie wangu anashinda na watoto kuangalia series za mazoombii na vampires..

Nimeonya weee asiangalie mashetani hayo na watoto ila naona ndio yupo na addicted nazo.


Bora wako cartoon mie wangu anashinda na watoto kuangalia series za mazoombii na vampires..

Duh, Toka waaze kuangalia mazombie na mazombieee, hawajakung'ata kweli mida ya usiku? πŸ˜€
 
Kwani wewe haupendi kutazama michezo ya mpira mkuu? Ni ulaibu tu, na wala haina madhara yoyote.

Mbona sisi wanaume siku hizi tunazungumzia michezo mda wote?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…