Penye miti hakunaga wajenzi...π€£Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Datascientist huyo mkeo ana mzigo?Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Hahaha! πUmeleta li chai lako kutuzingua sio? Ng'ombe we
Nitumie mawasiliano yake nikusaidie kumkanyaHabari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Mwasibu vipi tenaHuyu mleta mada ni mpumbavu wa kawaida
Watoto auWamefunga shule sasa
AsaHabari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Yupo sawa kw sababu anafanya hivyo akiwa chumbaniHabari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Dini gani hiyo? Walioana ili wafanye nini chumbani?Ndivyo Dini inavyotaka
Ndio mpumbavu wa aina gani? πππHuyu mleta mada ni mpumbavu wa kawaida