Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Sasa keshakupa mpaka suluhisho unataka nini tena?

Kakwambia kama humuamini achaneni, muache.

Huyo ni basha ake wewe msindikizaji tu. Ukisikia mwanamke anakimbilia suluhu ya kuachana juwa kuwa tayari ana mbadala wako.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Pole mkuu, hiyo miaka 6 ya mawasiliano yao ni uthibitisho tosha, kama unasubiri uthibitisho zaidi jiandae kisaikolojia.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Ukiona mwanamke anadai bora tuachane, ni red flags, means tayari ana mtu na huyo mtu ndio anampa kiburi
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Yes hayo maneno ya mwisho Zingatia sana "bora tuachane"! Achana nae uone kama kuna ukweli! Kama kaongea hivo aiseeh kakuchoka na ana mtu Anajipigia vizuri tu,kuwa makini na hao watoto mlio zaa nao huenda mmoja ni Wa jamaa. Piga chini
 
Chief usipaniki inawezekana ikawa kweli wakawa marafiki wa kawaida tu! Ila unachopaswa kufanya ni kukaa kimya na kupotezea hyo ishu ili upate nafasi ya kufanya uchunguzi kimya kimya. Jinsi unavyozidi kumpigia mayowe ndio unavyozidi kujiweka mbali na ukweli.

We piga kimya mpaka akijisahau uwe unakagua simu yake bila yeye kujua.
 
Achana nae kabisa, mtu yupo tayari kukupoteza kwasababu ya rafiki yake. Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba wewe kwake si muhimu kama alivyo rafiki yake, kwa maana nyingine huna thamani kwake. Sasa kuendelea kubwatuka bwatuka bila vitendo ndiyo unazidi kujidhalilisha kabisa na kuonekana wa hovyo. Kiufupi unatia aibu kwa jamii forum members.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
sasa kashasema bora tuachane unakaa kusubiri nini? huyo ashakuona amekukamata hivyo anakupelekesha, mwanamke akishaanza kauli za bora tuachane ujue tayari ndege sio wako anauhakika wa kiota kingine, kama hana kiota hawezi kuthubutu kutamka hivyo, hata ukitamka mwanaume nakuambia atakusamehe hata kwa makosa yako mwenyewe
 
Eehh hapo huyo jamaa alikuwa mtu wake kipindi wapo chuo ,, huenda jamaa alichelewa kujipata kwenye maisha ,, hivi karibu pengine mambo yake huyo jamaa yamemnyokea ( labda kapata kazi nzuri ) hali iliyopelekea mkeo aingie tamaa na kuona kama ndoa yenu inambana ili asiwe na huyo jamaa ..

Lakin asichokijua sisi wanaume siyo wajinga ,, kama atavunja ndoa na kwenda kwa huyo jamaa badi aandike maumivu maana jamaa atamtumia tu kisha ataoa mwanamke mwingine kabisa wa ndoto zake
 
Yes hayo maneno ya mwisho Zingatia sana "bora tuachane"! Achana nae uone kama kuna ukweli! Kama kaongea hivo aiseeh kakuchoka na ana mtu Anajipigia vizuri tu,kuwa makini na hao watoto mlio zaa nao huenda mmoja ni Wa jamaa. Piga chini
Sometimes labda ni hasira tu! Zilimfanya akaropoka vile halafu suala la kuachana sio suala rahisi km watu wengi humu jf mnavyolichukulia especially mnapokuwa tayari mna watoto
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hapo kwenye "Bora tuachane" maana yake wewe umeoa mwili wake tu. Hisia zake zipo kwa Mume wake original
 
Achana nae kabisa, mtu yupo tayari kukupoteza kwasababu ya rafiki yake. Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba wewe kwake si muhimu kama alivyo rafiki yake, kwa maana nyingine huna thamani kwake. Sasa kuendelea kubwatuka bwatuka bila vitendo ndiyo unazidi kujidhalilisha kabisa na kuonekana wa hovyo. Kiufupi unatia aibu kwa jamii forum members.

Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Nilikuwaga na mwanamke Kila tukikosana anakimbilia kusema bora tuachane "assume mtu unampgia simu asubuhi hapokei nikamtumia message ya kugombeza anakimbilia bora tuachane"

Kaka kwanza ningekua mimi ndo wewe hapa ningemkatia tiketi nikiamuacha aende kwao
 
Back
Top Bottom