Wachu macheke
Member
- Oct 8, 2024
- 68
- 120
Unasubiri kipi tena? Piga chini huyo au mpaka akuingizie wanaume ndani?amesema bora tuachane
Kauli hii Ni Redflag sana..amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Pole mkuu, hiyo miaka 6 ya mawasiliano yao ni uthibitisho tosha, kama unasubiri uthibitisho zaidi jiandae kisaikolojia.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Ukiona mwanamke anadai bora tuachane, ni red flags, means tayari ana mtu na huyo mtu ndio anampa kiburiKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Yes hayo maneno ya mwisho Zingatia sana "bora tuachane"! Achana nae uone kama kuna ukweli! Kama kaongea hivo aiseeh kakuchoka na ana mtu Anajipigia vizuri tu,kuwa makini na hao watoto mlio zaa nao huenda mmoja ni Wa jamaa. Piga chiniKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Chief usipaniki inawezekana ikawa kweli wakawa marafiki wa kawaida tu! Ila unachopaswa kufanya ni kukaa kimya na kupotezea hyo ishu ili upate nafasi ya kufanya uchunguzi kimya kimya. Jinsi unavyozidi kumpigia mayowe ndio unavyozidi kujiweka mbali na ukweli.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
sasa kashasema bora tuachane unakaa kusubiri nini? huyo ashakuona amekukamata hivyo anakupelekesha, mwanamke akishaanza kauli za bora tuachane ujue tayari ndege sio wako anauhakika wa kiota kingine, kama hana kiota hawezi kuthubutu kutamka hivyo, hata ukitamka mwanaume nakuambia atakusamehe hata kwa makosa yako mwenyeweKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Kabisa! Miaka sita wanawasiliana nini? Huenda wanawasiliana maendeleo ya mtoto wao..! Wanawake siku hizi wanabambikia sana watoto. Awe makini sanaPole mkuu, hiyo miaka 6 ya mawasiliano yao ni uthibitisho tosha, kama unasubiri uthibitisho zaidi jiandae kisaikolojia.
Sometimes labda ni hasira tu! Zilimfanya akaropoka vile halafu suala la kuachana sio suala rahisi km watu wengi humu jf mnavyolichukulia especially mnapokuwa tayari mna watotoYes hayo maneno ya mwisho Zingatia sana "bora tuachane"! Achana nae uone kama kuna ukweli! Kama kaongea hivo aiseeh kakuchoka na ana mtu Anajipigia vizuri tu,kuwa makini na hao watoto mlio zaa nao huenda mmoja ni Wa jamaa. Piga chini
Hapo kwenye "Bora tuachane" maana yake wewe umeoa mwili wake tu. Hisia zake zipo kwa Mume wake originalKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Mwamba anazingua, kama anaendelea kusubiri uthibitisho zaidi ajiandae tu kisaikolojia.Kabisa! Miaka sita wanawasiliana nini? Huenda wanawasiliana maendeleo ya mtoto wao..! Wanawake siku hizi wanabambikia sana watoto. Awe makini sana
Achana nae kabisa, mtu yupo tayari kukupoteza kwasababu ya rafiki yake. Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba wewe kwake si muhimu kama alivyo rafiki yake, kwa maana nyingine huna thamani kwake. Sasa kuendelea kubwatuka bwatuka bila vitendo ndiyo unazidi kujidhalilisha kabisa na kuonekana wa hovyo. Kiufupi unatia aibu kwa jamii forum members.
Nilikuwaga na mwanamke Kila tukikosana anakimbilia kusema bora tuachane "assume mtu unampgia simu asubuhi hapokei nikamtumia message ya kugombeza anakimbilia bora tuachane"Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hamna mke hapo! Cut her loose or you perish!Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini