Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Well said
 
Well said vijana wanahitaji majukwaa ili kupata hizi CLINIC ZA KIMAISHA ZA JINSI YA KUISHI KIUME.Madogo wanalialia kwasababu wamefundishwa na wamekuwa na mawazo kuwa wanawake ni kama wao🚨🚨🚨🚨

MWANAUME ILI UISHI KWA AMANI LAZIMA!!!LAZIMA!!! UHAKIKISHE HUYO MWANAMKE WAKO HUMPENDI.....PERIOD!!!!


Madogo acheni kupendapenda hovyo make sure your demands are fulfilled first before anything.Mwanamke hana huruma hana fadhila. Ukipata nafasi muumize kabla hajakuumiza.Na make sure unakuwa na OPTIONS( wanawake wengine tena wazuri sana kumshinda) hii itakusaidia kumaintain your
superiority and atraction.
 
Kwan una miaka ngap,,maana naona kweli anachosema una akili na humu umekuja kuambiwa sio maana kila kitu hadi uambiwe
 
FAHAMU HILI... Mwanaume mwenye hela, anaweza akaishi na mwanamke asiye na chochote kwa maisha yake yote, LAKINI mwanamke mwenye hela, kuishi na mwanaume asiye na kitu, wiki tu anakuwa ameshamchoka, na atamtangazia kila mtu kuwa mwanaume aliyenaye ni mzigo kwake..!!!
 
Kabisaaa kenge yoyote akileta ujinga unafukuz tuu....
 
Dah na Mimi nataka kuoa nakutana na hii issue naishiwa nguvu
Dogo soma hicho kitabu kisha kipractise halafu uone kama utakuwa na hofu tena.

LIVE BY PRINCIPLES!!!!USIENDEKEZE HISIA TUMIA AKILI.HATAKI KUFATA MAELEKEZO YAKO MUONYESHE MLANGO WA KUTOKEA.🤝
 

Attachments

Unaongea hoja dhaifu kwann vuta picha taasisi za fedha Watu wanakopa na wanaacha nyaraka muhimu bado deni hawalipi sembuse Hela

Upande mwingine kuna Watu Wana Hela mahusiano yatakuwa yanavunjika Tu wao kutoa Hela sio tatizo....

Suluhisho;Tuimarishe malezi ya watoto kwanzia utotoni mpaka ukubwani kuwa maisha ni safari ili tufike Mbali inabidi tusapotiane
 
Para ya mwisho hapo 😃😃😃😃NDOA kwa mwanamke ni BIMA ya maisha ila kwa mwanaume NI mateso maana ndo mlipia hiyo BIMA
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Usipomtema atakuua kwa stress huyo.
 
Dah na Mimi nataka kuoa nakutana na hii issue naishiwa nguvu
Kuna muda lazma utumie mfumo dume ili mambo yaende...
Mm baada ya kusoma stori kama hizi ndio huwa nataman sasa kuingia kwenye mchuano wa ndoa
 
Huyo ameshakuwa mke wetu sio mke wako tena tuheshimiane bro.. joking
Pole sana mkuu hapo inatakiwa usimae kama mwanaume haijalishi anakuzidi pesa ngapi mpe rules na laws ambazo unataka azifate ndani ya nyumba akishindwa mpe talaka atoke anza upya
Pongezi sana kwa kuwa mume na baba bora wala usijione umeanguka bali umeteleza.Ndoa ni watu wawili kama mlivyokaa mkayajenga mkope mfungue biashara, mkoe mjenge nashauri rudini palepale..ndoa ni mawasiliano ndio KUHUSIANA kwenyewe...angalia pale ambapo mlikuwa mnafanya awali kwa sasa mmeacha.Confidence ya mwanaume ni kutawala sasa kama kipato kidogo kinakufanya unyong'onyee muweke chini mkeo muyajenge, maisha ya sasa kutegemea kipato kimoja ni ngumu, mkae msikilizane mvute vipato vyenu ninaamini mtafikia pazuri...Pia ibada ni muhimu, shetani hutumia mlango wowote kuharibu amani, nyoka sio kwamba hakumuona Adam kule Edeni ila alimtumia Hawa huku Adam anashuhudia so jukumu la kulinda mji bado ni lako kama mume..Simama kwenye nafasi yako na everything will fall into place.Talaka sio suluhu
 
Aint no such thing as ndoa ya mkataba. Ila kuna makubaliano before kuingia kwenye ndoa, wenyewe wanaita prenup , japo kuwa wanandoa wengi(haaswa wale wanaotaka kuingia kwa maslahi hawapendi
 
Mkuu kwenye hizi angle hukoseagi.
 
Hatari sii mchezo. Hawa kenge nilishasema yaano lengo lao wakipata pesa wamuondoe mwanau.e kwenye maisha yao.

Mke sio wakumpa mtaji ata siku moja. Yeye atulie jikoni apike na usiku apanue mapaja umlenge ndio alicholetwa duniani kufanya
Nakazia.
 
lol
 
Kuna Iman hua nawaelewa sana wanaposema mwanamke anatakiwa akae nyumbani tu. Full Stop
Biblia inamtaja mwanamke kama msaidizi wa mwanaume ktk majukumu yake. Mwanaume muweke ndani mwanamke akusaidie ktk majukumu yako, mfano apike, afue, alee, afanye usafi wa nyumba na kuhakikisha wewe na familia kwa ujumla mko safi, mlala vizuri na kula.

Hayo majukumu ya mwanamke kutoka asubuhi na kurudi nyumbani kama wewe mwanamme ni akili za shetani. Mfungulie kukazi cha kawaida tu atulie na ajue mapato yake ni mapato ya familia. Ni vizuri sana kuoa wanawake wa standard 7 au form IV failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…