Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Kuoa goal keeper ni nzuri mara 100 asikwambie mtu.Tafuteni magoal keeper mfurahie uanaume wenu.
Niongezee tu kuwa Na Maendeleo utayapata haraka.

Watu wajifunze kwa kina Mo, Manji, huwezi kukuta Mke wa Rugemalila anapishana Uturk wala Dubai kubeba makontena ya biashara. Unadhani Mabilionea hawana Mitaji ya kuwapa wake Zao?

Mwanaume anahitaji Utulivu ili afanye maendeleo
 
Mroge au mfanyie fitina afukuzwe kazi atarudi kukupigia magoti
 
Hatari sii mchezo. Hawa kenge nilishasema yaano lengo lao wakipata pesa wamuondoe mwanau.e kwenye maisha yao.

Mke sio wakumpa mtaji ata siku moja. Yeye atulie jikoni apike na usiku apanue mapaja umlenge ndio alicholetwa duniani kufanya
Code green
 
Unaonekana kabisa wewe ni mtu usiye na mipango ndo maana muamuzi mkuu katika maisha yako ni mke wako akakimbia chukua mkopo afanye biashara unachukua chukua tufanye hivi unachukua kama vile zombie
 
haijawahi kuwa tatizo.

Binafsi mamsap akiniletea pigo za feminism na dharau atapata dawa yake accordingly. Mwanamke anaekaribia 40, soko lake lipo chini sana, hawezi kuniendesha sio kwa pesa wala fame.
Hii conclusion iko supported na Several Readings😅😅
 
Unaonekana kabisa wewe ni mtu usiye na mipango ndo maana muamuzi mkuu katika maisha yako ni mke wako akakimbia chukua mkopo afanye biashara unachukua chukua tufanye hivi unachukua kama vile zombie
Mkuu Wanaume sisi kama tunapenda na tuna Demokrasia tuna amini ktk Ushirikiano. Ndio maana tunawasikiliza Wake zetu.

Lengo ni kuboresha hali ya uchumi ktk familia. Kila Mwanaume anayejielewa anapambana kwa ajili ya Familia. Mawazo postive kwa Mke anayachukua na kufanyia kazi. Hata kama matokeo hamekuwa ndivyo sivyo.
 
Hii imewapoteza watu wengi hasa vijana wa kileo. Kwa kisingizio cha mahaba
 
Wanaume wazembe na wavivu ndio wanakimbilia kuoa wanawake wafanyakazi au kuwafungulia biashara hawajui wanajipalia makaa ya moto😀😀😀😀

Bora kula ugali tembele lenye amani na adabu kuliko wali nyama ya masimango na minuno na malalamiko.

📌📌📌WANAUME RUDINI KUNDINI,MWANAMKE AMEUMBWA KUTUMIA NA KUTUMIKA.KUTAFUTA NA KULA KWA JASHO HIZO NI ROLES ZA MWANAUME ACHENI UVIVU MUISHI KIFALME!!!!
 
Na hio ndio makusudi yao hao washenzi walioleta hizo sera ili kubomoa na kuzorotesha taasisi ya familia. Toka hilo swala limekuwa implemented rasmi sasa tunaona matokeo yake live kupitia ndoa nyingi kuvunjika na ongezeko la single mothers.
Mkuu Mbona Umechafukwa? Single mazas wapo toka miaka ya 1960s
 
Kitu pekee usichopaswa kumfanyia Mwanamke ni Manyanyaso/ ukatiri. Vingine ni sehemu ya maisha ya kwenye Biblia
 
Na hio ndio makusudi yao hao washenzi walioleta hizo sera ili kubomoa na kuzorotesha taasisi ya familia. Toka hilo swala limekuwa implemented rasmi sasa tunaona matokeo yake live kupitia ndoa nyingi kuvunjika na ongezeko la single mothers.
Wanaume na wanawake tunatofautiana kimaumbele na kisaikolojia kamwe hatuwezi kuwa sawa. Impact ya kumpa ajira mwanaume ni tofauti kabisa na impact ya kumpa ajira mwanamke.

Mwanaume atafikiria kuoa na kutunza familia yake. Mwanamke atafikiria kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake na kuishi maisha ya show-off ili ku-maintain status quo ya kuonekana super woman kama wanavyojiita.
 
Mahaba lazima yawatokee puwani mwanamke anakusoma tangu day one.So siku anapofanya finalization hata ulie ugarauke hawezi kubadili msimamo.😀😀😀

Madogo yanaendeshwa na hisia za ngono,badala ya kutumia ubongo vizuri.
Unamuuliza vipi leo mbona hujanijibu msg anakwambia sikua na Salio, kwani baby si nilikuomba jana? Wakati huo anachati na anakujibu msg ila ujumbe wako hajaujibu.

Mtihani wa kwanza, janaume na nyege zake linaenda kutuma Vocha. Another failure. Akiona hivyo tu ushapigwa 3-0
 
Wanaume na wanawake tunatofautiana kimaumbele na kisaikolojia kamwe hatuwezi kuwa sawa. Impact ya kumpa ajira mwanaume ni tofauti kabisa na impact ya kumpa ajira mwanamke.
Tumemsikia Mama wa Taifa juzi anasema Taasisi zote zinazoongozwa na Wanawake zinafanya vizuri.

Nikafikiria Tasisi ya Dr Tulia nilicheka hadi mbavu zikauma.
 
Pole,sijui mnatoaga mto gani hao kenge jamani...Mungu akupe binadamu mwenye uvimilivu na shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…