Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hii naibandika ukutani na kufanyia laminationWanataka usawa ili wawe na uhuru wa kutembea nusu uchi, kufanya ngono na mwanaume yoyote, kurudi nyumbani muda wowote, na kuwa na uwezo wa kutunishiana msuli na mume. Usawa wanaoutaka ni uhuru wa kuishi reckless life bila kuwajibishwa.
100% TrueNdio maana wanawake kupewa nafasi kwenye elimu haijaleta ongezeko la wanasayansi au wagunduzi wa kike isipokua imeleta ongezeko la feminist na kupanda kwa rate ya talaka.
Ego kenge ๐๐๐๐Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
๐ ๐Vaa viatu vya mke wako we ungekua yeye ungemuheshimu mtu anaesema Mshaara badala ya Mshahara?
Duuh mbona kama na mimi nimeshaharibu๐ ๐Makosa uliyofanya
*kumpa mtaji
*kukubali aajiriwe
*kukubali ushauri wake hata kama ni mzuri namna gani hili ndo kosa kubwa sana ulilihusu mkuu.
Duuh mbona kama na mimi nimeshaharibu๐ ๐Makosa uliyofanya
*kumpa mtaji
*kukubali aajiriwe
*kukubali ushauri wake hata kama ni mzuri namna gani hili ndo kosa kubwa sana ulilihusu mkuu.
Mbona mnatesekaga na vitu vidogo hivyo? Hiyo ng'ombe kama ina mdogo wake igongee mpaka ife kwa presha!Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Huu ni ujinga mkubwa sana kwa wanaume wasiojua wako dunian kwa ajili gani. Naunga mkono hoja zako 100%hayo maswali ya kijinga mnayo jiulizaga eti hivi nikifa mke wangu na watoto wataishi vipi?
Mtu ambaye anakufanyia kusudi akiwa amedhamiria na wala sio bahati mbaya, ukimhendekeza basi wewe kweli huna akiliMama yangu aliwahi kuniambia kuwa
"Mwanangu kama hakuna wa kuku hurumia basi jihurumie mwenyewe"
Kuonyesha uvumilivu kwa mtu aliyekusudia kukukera sio uvumilivu bali ni UPUMBAVU....
Usingoje watu wakuhurumie..... jihurumie mwenyewe kwa kujiweka mbali na chanzo chako cha kero.......
Mkuu kuwa na staha basi unamwita dada zako Kenge?Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
Ni ktk kudhibiti ujinga๐ ๐ ๐Upo sahihi sana mwanawane.
Ila sasa kwa nini mkeo asiolewe wee ukifa?
๐ ๐ ๐Mwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
๐ ๐Kwann uoe mke wa marehemu?
Mzee kuanza moja si mpaka uwe na pa kuanzia, nimeshapiga hatua sasa nin 45yrs, unaniambia nianze moja? What a loss for 25yrs of hustling?Hivi huwa mnaogopa kuanza moja?
Nikiwa mzima wa afya sitegemei mwananke abizingue.
Kama ni nyumba nitamwachia nianze moja
Mtani Mzab Mbona hasira kama zote yalishawahi kukuta nini?Mie nakwambia mataliban wana akili sana wale watu walijua kabisa hawa kenge ni kuweka ndani tuu huko jikoni basi
HahahahMtani Mzab Mbona hasira kama zote yalishawahi kukuta nini?
Mana toka uanze kuchangia huu uzi unatuita Kenge tu? ๐คฃ๐คฃ
Hebu tupe heshima yetu wanawake.
Sio wote.Duuh mbona kama na mimi nimeshaharibu๐ ๐