Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

Mpe talaka. Hiyo ni red flag kubwa sana. Ila kabla hujampa talaka mpeleke kwa mtaalamu wa saikolojia ya mahusiano na mambo yote yanayohusiana uvujanji wa amri ya 6 ndugu mzabzab ampe ushauri nasaha.
 
Wanabodi hii hivi iko sawa.

Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".

Je hio ni sawa au ni red flag?
Huyo anashinda sana mitandaoni au akishika simu yako huwa anakuta unawanyenyekea watu kwakuwaita majina hayo ushauri wa bure tafuta hela upunguze kuwanyenyekea watu kwakuwaita majina km mkuu boss mheshimiwa kiongozi chief n.k
 
Wanabodi hii hivi iko sawa.

Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".

Je hio ni sawa au ni red flag?
Mkuu wa Kaya, acha uwogo.. hapo penzi ndio limetamaladi..we unataka maneno ya sweetiee...mara honey...
 
Back
Top Bottom