Mke wangu hajali familia

Ulishawahi kupika wewe na ni mara ngapi tuanzie hapo kwanza
 
mmh hiyo changamoto tena si kidogo..
 
Yani wewe unafanyabiashara halafu hela anashika yeye, huna akili.

Tatizo lipo hapo, tunza pesa mwenyewe, mwenzako anakula chips zege deile huyo, ukirudi wewe ndio anakuektia na chai na mikate. Huu ni uzoba wa kujitakia.
watoto je?
 
Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
 
Kuna saa nakasirika ila nakosa namna ya kufanya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkeo hana dadake au mdogoye? Fungasha yeye na watoto aende kwao kwa wiki moja tu, akirudi amenyooka.
Sasa mkuu kila tukizozana na nikimkoromea huwa yeye ndio anakuwa wa kwanza kusema kama naona hafanyi Mother-duty eti nimrudishe kwao akafunzwe tena. Hilo suala nikilifikiria naona kama najidhalilisha kwa upande mwingine kuwa wataona kuwa nimeshindwa kumcontrol mtoto wao….kiundani Watanicheka flani
 
Mwanamke mwenzangu anakwama..embu nawewe unguruma kidogo mboost akumbuke wajibu wake
 
Sikuhizi kuna baadhi ya wanawake asilimia kubwa wamekuwa hovyo hawajali familia wala malezi na Wana act ka ma slay queen Bora mtu ka hujali watoto usizae tu.
Cariha kama cariha
 
Ongea nae kwa upendo mbona hilo dogo sana mkuu fanya kitu ambacho atafurahi then badge mkiwa wawili mwambie kwa upole kbsa juu ya help mbona litaisha tu pia ibada mzee muhimu sana wkt mwingine si yeye dunia ina mengi hii kaza ibada hakuna mzazi asiyependa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…