Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 214
- 448
- Thread starter
- #41
Nishajaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nakuwa sijisikii poa, I dont feel my Manhood nianze kupika na kuogesha watoto wakati mama yao yupo na haumwi. Huzi shughuli nakuwa huru sana kuzifanya nikitaka mwenyewe lakini sio kwa lazima.Duh! unachangamoto ya kipekee, Kwa kifupi una mke mvivu, inabidi uokoe jahazi, uwe Unapika na kuosha watoto.
Alafu pia kuna saa upo na watu wanakufahamu uanze kufanya kazi za kupika hata ndugu wakisikia wataniona fala sana