Mke wangu hajali familia

Mke wangu hajali familia

Duh! unachangamoto ya kipekee, Kwa kifupi una mke mvivu, inabidi uokoe jahazi, uwe Unapika na kuosha watoto.
Nishajaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nakuwa sijisikii poa, I dont feel my Manhood nianze kupika na kuogesha watoto wakati mama yao yupo na haumwi. Huzi shughuli nakuwa huru sana kuzifanya nikitaka mwenyewe lakini sio kwa lazima.

Alafu pia kuna saa upo na watu wanakufahamu uanze kufanya kazi za kupika hata ndugu wakisikia wataniona fala sana
 
Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Tafuta nyumba ndogo mkuu..ndio dawa yao hao..sikushauri wala uwe unampiga..dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake.
 
Mlikaa muda gani kwenye mahusiano kabla ya kuoana?

................Hao ndio aina ya wanawake wana kucha ndefu kwenye mikono, nywele bandia,nyusi bandia hata kufua chupi zake huyo ni mtihani.
Nimekaa nae miaka saba kabla ya kuanza kuishi nae
 
Habari wana JF!!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja….hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA. Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.

Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE

1. Mrudishe kwao tafuta housegirl alee watoto jinsi unavyotaka wewe.

2. Chukua watoto peleka kwenu na uwe unatoa mahitaji yote.

Mwanaume unatakiwa ukitoa Order ya kitu flan mkeo ana-obey.
 
Kama hajali mpuuze. Wewe jali familia yako. Tatizo mnatarajiaga Miujiza kwenye ndoa. Mm huwa nampuuza Kama vile hayupo. Na mambo yanaenda
Asa ukipuuzaa watoto wanaumia man. Maana kuna saa nasema afanye anachojiskia mimi nakula zangu mtaani. Changamoto inakuja kwa watoto…. I keep myself clean and smart always alafu watoto wawe kama hawana wakezi aisee asa ndio maisha gani
 
Duh! unachangamoto ya kipekee, Kwa kifupi una mke mvivu, inabidi uokoe jahazi, uwe Unapika na kuosha watoto.

Atafute hela na akirudi afanye kazi za nyumbani Mkuu upo Serious?

Kazi ya mke ni nini, tena ambaye yupo nyumbani tu?
 
Na nyie mnazidi ulalamishi siku hizi hadi tunaonekana wanaume wote ni wazembe.

Hapo wewe nenda mkoani tafuta binti mkali, halafu mlete kama house help bila kumshirikisha huyo mkeo. Hakikisha unamfundisha kazi zote na vile unataka zifanywe.

Then wewe endelea kuwa busy na kutafuta pesa ukiwa huko kwenye utafutaji unampigia huyo mdada unakuwa unamuuliza kuhusu watoto na mambo ya nyumbani na maelekezo yote unakuwa unadeal nae.

Huyo mkeo abakie kwaajiri ya kugegeda tu na kuwa pambo la nyumba.

Akileta fyoko fyoko muulize ni nini unataka ....?!
 
Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Atakuwa ana aleji huyo ya kuvimba, mwili wake hautaki makofi😄
 
Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Sasa 27 unataka abadilike nini?! Huyo keshakomaa. Ni mawili, uishi nae hivyo hivyo ukubali kuwa mpole au kama vipi pambana nae kwa kumtafutia substitute wake.
 
Nishajaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nakuwa sijisikii poa, I dont feel my Manhood nianze kupika na kuogesha watoto wakati mama yao yupo na haumwi. Huzi shughuli nakuwa huru sana kuzifanya nikitaka mwenyewe lakini sio kwa lazima.

Alafu pia kuna saa upo na watu wanakufahamu uanze kufanya kazi za kupika hata ndugu wakisikia wataniona fala sana
The things we do for love
 
Back
Top Bottom