Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Sisi tumelelewa kuishi na watu,bila kujali ni ndugu yako au laa
Nimeanza kuishi na watu(siyo ndugu) hata kabla sijoa.
Swali langu ni Je kuna ugumu gani kuishi na mtu mwingine achilia mbali mtoto wa mumeo/mkeo?basi watu tunatofautiana sana.
Wengine ni mashetani na wachawi na sio wanadamu mkuu .

Ivyo kama ni wachawi au mashetani lazima wachukie watt maana watt huona siri nyingi za nguvu za giza ambazo ww mtu mzima huwezi kuona...watt ni kikwazo sana kwa wanaotumia nguvu za giza.

USHAURI: Ukiona mkeo hamtaki mtt wako,mfukuze huyo mkeo ili mtt abaki utaponya roho yako. Wanaume wengi wanakufa kabla ya siku zao na kuwaacha wake zao kwa ujinga tu
 
Na wewe acha tamaa zako zinazogharimu utu wako!

Hela unapokea then mtoto hutaki kupokea! Hakuna mapenzi hapo maana kama utashindwa kumpokea na kumpenda mtt mdogo asie na hatia,mtu mzima mwenye hatia kibao utamuweza? Mapenzi ya kufuata hela hatuyataki.

Ni heri mtt abaki maana ni kwangu ndio nyumbani kwake na ni ndugu na damu yangu ila wewe uondoke tu maana una kwenu...kwa baba yako.
Kwanini nipende vitu visivo ni husu hayo ni matumizi mabaya ya moyo wangu kabisa, na hao unaposema eti nipokea hela zake kwani Mimi sifanyi kazi inayoniingizia kipato?
Kumbuka Mimi nataka mahusiano na wewe na sio watoto wako nimekuja kwa starehe hayo ya mtoto wako mpendeni nyie mliomzaa, na hii yote watu hawafati maadili wao ni kuzaa tu wakitegemea kuja kulaumu wengine
 
Kwanini nipende vitu visivo ni husu hayo ni matumizi mabaya ya moyo wangu kabisa, na hao unaposema eti nipokea hela zake kwani Mimi sifanyi kazi inayoniingizia kipato?
Kumbuka Mimi nataka mahusiano na wewe na sio watoto wako nimekuja kwa starehe hayo ya mtoto wako mpendeni nyie mliomzaa, na hii yote watu hawafati maadili wao ni kuzaa tu wakitegemea kuja kulaumu wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumizi mabaya ya moyo sio?
 
Ma single father wataniua humu mwenzenu jamani Mimi nakuwa muwazi na mkweli sipendi watoto wasio na hatia wateseke pia na wanawake wasio wazaa hao watoto walaumiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewapiga kwenye mshono.
 
Nyoko zenu nyie mnazaa huko mnashindwana zenu mtoto unampa lawama mtu mwingine ndio aliwatuma mpanue miguu kweli Yani nyie mzae huko kwa starehe zenu na ubinafsi mumeshindwa kuelewana huko then una force mama wengine wampemde nyie ka mnashindwa na ni damu yenu why blame other women's. Damu yenu nyie mumeshindwa ku raise mwanenu are you guy's mad?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wajinga ni wale wanaozaa mtoto then hawataki kumlea mikojo Yao ya starehe na ku Force mama wa wengine awasaidie kulea watoto, kwanini huyo mama aliwatuma mzae, hata huyo mtoto hakuomba mumazae mje kumtesa na kumyumbisha kilikuwa kiherehere chenu tu wawili then why ulaani wanawake wengine, nyie wenyewe mliokutanisha vikojoleo lawashinda kwanini mtu baki ambaye hajamubeba tumboni awe na uchungu naye.
[emoji23][emoji23] Nitapinga siku zote hii tabia za kuzaa hovyo na kuja kutesa watoto kupata malezi na watu baki Nitapinga Jana, Leo, kesho na keshokutwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karma mommah plz njoo huku usome comments za watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumizi mabaya ya moyo sio?
Yes matumizi mabaya ya moyo bana ujue kupenda kisicho kuhusu ni ngumu mno angalieni hata mfano wa kuku na vifaranga wake akiona wa kuku mwingine ana vidonyoa donyoa tu
 
Mtoto anayezaliwa kwa uhuni wa mwanamme ..Tena ndani ya ndoa ..ni shida...

MKE anakuwa na majeraha ya mume kuchepuka ..na ushahidi unaleta alee yeye..

Halafu si mmoja!

Labda wa bahati mbaya kabla ya ndoa

Na inachangia na huyo baba akili na mitizamo yake..pia ..


Inahitaji busara na hekima Sana kuijenga familia!

Jirani yangu analea ila anajali wamekula ...wasafi...na wanalala ndani basi ... Mengine hagusi..
 
Maelezo mazuri Yao yamewashinda hafu laana wamwangushia mtu mwingine it's not fair
Imagine wao wenye uchungu zaidi wameshindwa, unategemea vipi mtu mwingine aweze. Labda kama mzazi mmoja wa huyo mtoto hayuko hai.
 
Watu hawapendi ukweli bana, I hate innocent and poor kid kuathirika malezi yake kwa usumbufu wa wazazi, wakati mtoto hakuomba wamlete duniani.
Na umewakimbiza kweli kwenye hii thread, washazoea unafki lol . Wanawake wengi wanapenda ndoa ndo maana wanajifanyisha kupenda watoto wasio wao, na kuna wenzangu na mimi akuu hatutaki!
Jifunzeni kua responsible folks, sio kuja kutupia lawama wengine.
 
Na umewakimbiza kweli kwenye hii thread, washazoea unafki lol . Wanawake wengi wanapenda ndoa ndo maana wanajifanyisha kupenda watoto wasio wao, na kuna wenzangu na mimi akuu hatutaki!
Jifunzeni kua responsible folks, sio kuja kutupia lawama wengine.
Heri wakimbie wanaume wengi wangesimama kwenye nafasi zao ka vichwa vya familia migogoro mingi isingekuwepo na kusingekuwa na watoto wa mtaani, Sasa wao ni kufungua zipu kwa kujifanya vidume imagine mtu hajaoa ila ana watoto watano na mama tofauti anataka umsaidie kulea kilazima na anakulaumu kabisa. Sina mtoto ila kuolewa na mtu aliyekwisha zaa mtoto/ watoto ni changamoto you won't enjoy the relationship kabisa, na Hawa wanaume ndio hutukana sana single Maza na kusema hawalei watoto wa wanaume wenzao mpaka waone eti kaburi eti
 
Back
Top Bottom