Yes I will teach hata nikiondoka mapema they will survive coz spirit inside me itakuwa juu Yao kama Mimi Nili survive at my age with minimal supervision and I am old enough mpaka Leo so sioni hyo ka ni good excuse ya kutetea watu wasio take full responsibility for their actions.
Pia Mimi ka mama I have to protect my genes by any means ensuring their wellbeing by creating good evironment ya wanangu by any means, wa nje kwangu ni intruders for the future of my own kid's survival loh, halafu hyo ya future ya wanangu naongelea kwangu au kwa wamama wanaowekeza vitega uchumi na wanaofanya kazi na biashara na sio kutegemea Cha mumewe sikuhizi hamna kitu ka hicho Cha kuwa goalkeeper tu, so I work hard and I have invested heavily to different properties in town yet huyo mtoto wa mama mwingine hajagi kutoa lolote hata nguo za mwanawe yet aje kupata sawa na wanangu vitu nilivojiandaa huku yeye alikuwa na mambo yake Mimi niache tu kimya na kujifanya eti mwema?
Tena huyo mtoto baba hayupo wataungana na mama yake kuleta chaos kwa watoto wangu nivumilie tu,[emoji23][emoji23] it's not bad to fight for the future of own eggs or na sio dhambi kabisa jamani na sio roho mbaya ooh.
N. B hii case ni Kwa watu walio hai tu na wanaotekeleza watoto na kuachia baba au mama kulea, maisha ni Kwa walio hai so msije hapa na excuse sijui mtu kafa na blah blah nyingi za kutafta huruma za ulezi