Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Imagine wao wenye uchungu zaidi wameshindwa, unategemea vipi mtu mwingine aweze. Labda kama mzazi mmoja wa huyo mtoto hayuko hai.
Wao wenyewe waliomleta duniani yamewashinda Mimi ambaye sijamu beba 9 months naweza kuwa na uchungu kweli?
Jamani mama wa kambo huchukiwa Bure tu bila sababu Mimi Bora niletewe kitoto kichanga nikinyonyeshe mwenyewe nikikuze kikijua ni mamake hata nikimkanya anajua ni mamake we have bonding ila mtoto mkubwa kabisa na mamake yuko hai anakula Bata huko Mimi nihangaike dhubutu yangu mie
 
Na sisi tufanye the same
Hadi tuone kaburi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](kidding)


Nashangaa wanaume wa humu bado wapo kulazimisha huyo mwanamke ampende mtoto.
Yaani hawa ni wanaume wa ajabu kupata kutokea.
 
Na sisi tufanye the same
Hadi tuone kaburi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](kidding)


Nashangaa wanaume wa humu bado wapo kulazimisha huyo mwanamke ampende mtoto.
Yaani hawa ni wanaume wa ajabu kupata kutokea.
Sio kwamba hatupendi kulea hao watoto huwa hawapendeki haki na hata ukifanya chochote baba atajua una mtesa tu mwanawe Sasa shida za nini hizo
 
Sio kwamba hatupendi kulea hao watoto huwa hawapendeki haki na hata ukifanya chochote baba atajua una mtesa tu mwanawe Sasa shida za nini hizo
Na watu hawakomi tu kuzaa zaa hovyo.

Na hawapendeki kweli,,,
Mechi nzuri ianze bila bila.
 
Na watu hawakomi tu kuzaa zaa hovyo.

Na hawapendeki kweli,,,
Mechi nzuri ianze bila bila.
Imagine mechi imeanza 2-0 hyo sio fair match na wanaume unakuta Wana watoto hawataki kuoa single mom mwenye watoto wawili ka yeye Ili ngoma iwe droo kisa hawataki kulea watoto wa mwanaume mwingine ila sisi wanatu force kilazima huku wao hawawezi sisi kwetu eti roho mbaya na chuki, hivi kwanini vitu vya wanaume wao huwa sawa ila kwetu wanawake tuna roho mbaya na hatupendani
 
Ma single father wataniua humu mwenzenu jamani Mimi nakuwa muwazi na mkweli sipendi watoto wasio na hatia wateseke pia na wanawake wasio wazaa hao watoto walaumiwe
Umewapanikisha mno ila mkuki kwa nguruwe wao wana kamsemo kwamba ili uoe Single Mama hakikisha umeliona kabuli la mhusika hii kauli ni ya roho mbaya kabisa 😂😂😂
 
Halafu sasa hapo ndipo wanaponishangaza[emoji1787]
Wameng'ang'ana kusema 'roho mbaya '
 
Halafu sasa hapo ndipo wanaponishangaza[emoji1787]
Wameng'ang'ana kusema 'roho mbaya '
Hapo roho mbaya hapo au nzuri ukiolewa na mwanaume wa hivo jiandae kusononeka maana na family members huingilia Hilo swala uonekane una roho mbaya
 
Umewapanikisha mno ila mkuki kwa nguruwe wao wana kamsemo kwamba ili uoe Single Mama hakikisha umeliona kabuli la mhusika hii kauli ni ya roho mbaya kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]wao hawataki kusikia ingawa wanazalisha hovyo huko nje ila wakuoa wanataka asiye na mtoto hapo kukwepa kero za kulea mtoto wa mwanaume mwenzao na hapo husingizia eti wazazi kupasha kiporo kumbe ni ubinafsi wao tu na roho mbaya zao
 
Hyo treatment mungetakiwa mumpe nyie mliozaa wawili na sio kutegemea mtu baki eti apende starehe zake na kuzihudumia never on earth, eti atleast umpe treatment fair nyie mliozaa mulishindwa nini why mu expect kwa wengine kutoa hizo treatment

Sawa Mkuu umeeleweka,, Mawazo yako yaheshimiwe
 
Naomba kibali cha kuifanyia lamination hii comment
 
Wewe ni walewale
 
Jujaelewa point ya msingi. Ngoja nikufafanulie kidogo. Kabla ya maisha ya ndoa, mwanamke alijua kuna mtoto tayari aliyezaliwa kabla ya yeye kuolewa. Na akakubali kuwa atampokea na kumpenda. Baada ya kuingia ndani na kupata ujauzito ndio akaanza kuonyesha figisu zake juu ya Yule mtoto. Na baada ya muda akaanza kudiriki kutamka wazi kuwa hawez kuishi na huyo mtoto na siku aliletwa yeye ataondoka. Mtoto alipoletwa akaona Hana ujanja akabadilika na kusema asamehewe Yuko tayari kumlea mtoto na kumpenda. Swali ni Je kuna mapenzi hapo? Anastahili kukaa na huyo mtoto? Anastahili kuitwa mke????????????
 
Napigia mstari hapa 💯
 
In short kuoana na mtu aliye kwisha kuzaa asilimia tisini ni kero na karaha tupu kwanza Wana machungu Yao na stress zao zisizoisha hau enjoy plus na huyo mtoto na drama za mamake ni kero tupu
Mimi mwenyewe niko kwenye ndoa ya dizain iyo mwanaume alizaa huko na aliwah niambia nina mtoto nilimjib sawa mamaake si yupo ndio.hatukuwah negotiate kwmb nitaletewa nikae nae na hapo ni maamuzi eidha nikubali ama nikatae.basi sikuiz mwanamke kila saa na kila siku n cm na kutaka matumiz nashangaa mwananme anasema anataka amchukue sijajib kitu maana dharau nazoletewa na huyo mwanamke sio poa how nimlelee mtoto? Angelisema mwanzon nitamletaga tukae nae ningejua najibu nn lkn sahii ndo a anataka kumleta mwnyw Ana two years halaf wangu Ana ten months naishia kuambiwa nina roho mbayakwa nn sitaki aletwe na huyo mamaake afanye nn.ni full kisiran n wivu na masimango kila siku n kumchachafya mwanaume nyie kulen raha sisi tuteseke wkt nayopitia hajui na n afadhali yakejmn ndoa za haya mambo n changamoto huinjoi kbs.unataka hela ya majukm flan unaambiwa imeenda kwa mama flan unaambiwa subir saa zngn wala hupewi nashkr Mungu nina kazi yangu most of issues am handling myself! Jmn ikiwa uko maza house tu then ukutane na izi kitu msiombeeeee!! Mungu atusaidie n ngumu kulea mtoto wa mtu huo ndo ukwl wapambn hukohuko walikokutana.and bad enough mwanamke anatuma sms anasema tulikuwa tunakula starehe Mungu akatuzawadia mtoto wala mwananme sikuwah mpenda sasa how starehe za wengn ziumize wengn? Wanaume badiliken wa wanawake hamuez lea went mtuletee tulee Acha niwe na roho ya chui..sidhan km io n dhambi kulazimisha mtu apende zao la zinaa yenu.achen kujidai na nyie wngn eti mna roho nzuri tena mnaandk tu huku lkn ndo wabaya kuliko sie tuloonyesha ukwl wetu.much love to u cariha hujaficha ukwl wako.tuache unafki
 
Da!
Ningekuwa Mimi wewe ndio Mke nimekuoa nakupa Talaka.

Kama huwezi ishi na mwanangu, damu yangu uliyemkuta basi hufai kuwa Mama wa mji wangu.
 
Mkuu unajua maana ya mke????
Ndoa na watoto ni vitu viwili tofauti.

Mtoto wako sio wake hata kitokea hapo mama yake anakuja kuchukua mali zako wewe na wanagawana na mke wako huyo.
Na mahusiano yanakufa kabisa tena unaweza shangaa hata watoto wakiwa wakubwa hawatafutani kabisa.
 
Da!
Ningekuwa Mimi wewe ndio Mke nimekuoa nakupa Talaka.

Kama huwezi ishi na mwanangu, damu yangu uliyemkuta basi hufai kuwa Mama wa mji wangu.
Wanaume wa bongo.
Wewe mwenyewe utakuta utaki kuishi na mtoto wa mkeo.
 
Watoto wa hivyo huwa na ile kinyongo wakiamini kuwa wewe ndo sababu mama yake hakuolewa na hizo mali zote zingekuwa za kwake na mama yake.

Ila pole sana kwa changamoto Mungu atakupigania kwa haki


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtoto anakuwa mbaraka kwa wazazi wake wa kumzaa tuu na si wengine.
Kosa ni la wazazi wake wa kumzaa na si lingine.
Kuhusu kulea mtu mwingine ni uhamuzi wake anaweza mlea au akakataa uwezi mshitaki popote pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…