Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

ebidada

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
69
Reaction score
81
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa

Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.

Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?

Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.

Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.

Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?

Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
 
Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Ushajua tatizo na ushajua wap pakutafuta hilo tatizo.

Ninachoona ni kuwa unataka ni kwa namna gan utaligundua hilo tatizo.

Kabla ya kumkalisha chini. Hebu kwanza chunguza chanzo cha tatizo. Alaf upate suluhisho lake . Ili ukimwita hata kama akisema tatizo ni hilo. Bas ww unakuwa tayar una way out/forward.

Anzia hapa. Je alikuwa hivyo toka awali wakat unamuoa?.
Kama amebadilika ni lini umeanza kuona hayo mabadiliko?. Je Uliwah kumkosea pakubwa na hamjayamaliza?.
je kuna vitu huwa anakuambia uache mara kwa mara ila hauachi(mfano anakuambia hapend haruf ya pombe, ila ww unakunywa alaf unataka mzagamuano?.)
Nk.

Nashauri chunguza kwanza. Then ukipata jibu. Mtoe Lunch/dinner alaf muulize kitaratibu ishu nn. Akifunguka . Unalimaliza na mnarudi ndan kulana kiroho safi.
 
1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,

Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.

NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
 
I do appreciate
 
Snywi pombe
Sinuki mdomo
Alikuwa ankojoa zamani sio sasa
 
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa

Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.

Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?

Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.

Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.

Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?

Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Pole mkuu vp anatumia. Njia za uzazi wa mpango
 
Back
Top Bottom