1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,
Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Tuna watotoo watatu, na wote amejifungua kawaida.Mko muda gani kwenye ndoa? Ana umri gani? Mna wtt? Km wapo ni wangapi? Na kajifungua kwa njia gani!?
Wakati mwengine mabadiliko ya hormones ni changamoto sana kwa mwanamke hasa hasa km anakaribia menopause
Hii tamu sana nimeipenda.Asipoifanyia KAZI shauri zake 😝1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,
Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Sasa kama mtu ana kitambi huo uhuni atafanyaje kweli!1. Hunuki mdomo?

Kama ni hivo usimuombe tena.Lakini nikijaribu kumuuliza anasema hamna kitu ila tu hataki.
Mojawapo ya sababu kubwa sana inachangia kuwasababishia wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ni matumizi ya uzazi wa mpango hususan vidonge, sindano, kitanzi na kadhalika.Ndio anatumia njia za uzazi wa mpango.
Wanasemaga matukio huwaondoa ashiki hebu jichunguze huenda unampiga matukio shemeji yetuNaomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa

Kwa nn asitishe kukojoa ama hukichezei tena vizuriSnywi pombe
Sinuki mdomo
Alikuwa ankojoa zamani sio sasa