Ana upungufu wa nguvu za kikeMweh kwani vita?
Ana upungufu wa nguvu za kikeMweh kwani vita?
Basi unamuumiza hafurahiiAna upungufu wa nguvu za kike
Angekuwa hafurahii asingekuwa ananiomba mara nyingi tufanye ni vile uchovu unatokea baada ya tendo ni kwasababu hayuko fit na .mwili pia unachangia, Kuna wanawake wengine wapo fit haswa unafanya tendo na kesho kama kawa anaingia job ni kwasababu mwili wake una handle vishindoBasi unamuumiza hafurahii
Amesema ana miaka 35 so ameanza kuzaa akiwa na 20+ Hana menopauseAna miaka mingapi? Ukute mwenzio ameanza Menopose....muwe mnasoma elimu za afya kuelewa mabadiliko ya mwanamke...
Ukute mmeoana mwanamke ana 35 mmekaa kidogo menopose nayo imebisha hodi
Otherwise mbembeleze kwani unaona shida gani? Always wanawake ndo waanzwa au unataka ubembelezwe wewe? Yani mwanamke ana siku moja tuu anayoweza kuonyesha kutaka tendo ni siku ya ovulation hizo siku zingine ni kutimiza majukumu tuu ndo maana wanyama wa kike wanafanya wakiwa kwny heat pekee...
Kwahiyio unataka kuniambia kwamba ikitokea akawa mke wako mtakuwa mnakulana mara moja tu kwa wiki siku ya ijumaa?Angekuwa hafurahii asingekuwa ananiomba mara nyingi tufanye ni vile uchovu unatokea baada ya tendo ni kwasababu hayuko fit na .mwili pia unachangia, Kuna wanawake wengine wapo fit haswa unafanya tendo na kesho kama kawa anaingia job ni kwasababu mwili wake una handle vishindo
Alikuwa mpenzi wangu au hukuelewa kwamaana hiyo sipo nae tenaKwahiyio unataka kuniambia kwamba ikitokea akawa mke wako mtakuwa mnakulana mara moja tu kwa wiki siku ya ijumaa?
Improve your skills and be a manNaomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.