Amesema ana umri wa miaka 35 na pia hapo kabla hakuwa hivyoLabda umri umeenda..
Mpunguzie majukumu labda yamemzidi..
Si uoe mke mwingine kama appetite iko juu..
Hilo swali lako Hali halileti maana halisi kwasababu wanawake wanatofautiana wapo waliharibika na wapo ambao fresh na wenye maadili ambao ili hakukubalie inahitaji muda so sio kila mwanamke anakukubalia mapema kwamba anakupenda la hasha! Na sio kwamba anakukarisha benchi muda mrefu hakupendi no itadepend na aina gani ya mwanamke umekutana naeHilo swali ni la ki intelligensia sana Hziyech22
Hii ni kwelisio kila mwanamke anakukubalia mapema kwamba anakupenda la hasha!
We jidanganye, kukalishwa benchi wiki moja au mbili hata mwezi, ni sawa, ila mtu unakalishwa benchi mwaka, hamna mke hapo, akikukubali ni kwamba ka settle tu kwa vile first option zake hakuzipataNa sio kwamba anakukarisha benchi muda mrefu hakupendi no itadepend na aina gani ya mwanamke umekutana nae
Tena unaweza ukajua huyu anamegwa na ukawa na amani tu.!Kuna kipindi kikifikia kwenye ndoa mnaishii tu kama mazoezi
Upo sawa Kabisa. Wanawake tupo hivohivi broh! Omba sana mke wako asianzishe mahusiano na mwanaume mwengine, na asitokee mwana saikolojia akakudanganya kuwa labda humuandai vizuri wakati wa tendo, au mara humfikishi au mara hiki mara kile. Sababu pekee ambayo ni genuine ni mwanamke kuwa na mahusiano ya pembeni. Mwanamke anapokuwa katika wakati huo anahamisha kabisa mapenzi yake kwenda kwa huyo mtu na atakuona kama kituko tu kwake
Upo sawa Kabisa. Wanawake tupo hivohivi broh! Omba sana mke wako asianzishe mahusiano na mwanaume mwengine, na asitokee mwana saikolojia akakudanganya kuwa labda humuandai vizuri wakati wa tendo, au mara humfikishi au mara hiki mara kile. Sababu pekee ambayo ni genuine ni mwanamke kuwa na mahusiano ya pembeni. Mwanamke anapokuwa katika wakati huo anahamisha kabisa mapenzi yake kwenda kwa huyo mtu na atakuona kama kituko tu kwake
Kwa hiyo mliachanaWanawake sometime ni viumbe visivyoeleweka vinataka nini na lazima wajue huwezi kumpata mwanaume ambaye ni perfect asie na mapungufu huyo mwanaume hayupo Dunia wakijua hili hawatapata shida mfano niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye nilimpenda nilijitoa kwake japo nilikuwa sikuwa na pesa kiasi hicho lakini nilijitahidi kwa uwezo wangu nilikuwa Nampa zawadi bila kuniomba, sometimes nakutumia muamala bila kuniomba, namshauri kwenye mambo ya msingi, nilikuwa simcheat, nilikuwa humble kakwe na ni mkali akifanya ujinga na kwenye sex nilikuwa vizuri kiasi ambacho anapendea tufanye weekend badala ya katikati ya wiki huwa anaona ninamshoka nakumfanya awe mvivu kesho yake kwenda kazini pamoja na yote haya alinicheat na mfanyakazi mwenzake na kila kitu kikavurugika hapo ndio maana huwa nashindwa kuelewa jinsia yenu
ungesema umri wakeNaomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Mimi sijasema Mwaka inaweza ikawa wiki 2 mpaka Mwezi si Zaidi ya hapoHii ni kweli
We jidanganye, kukalishwa benchi wiki moja au mbili hata mwezi, ni sawa, ila mtu unakalishwa benchi mwaka, hamna mke hapo, akikukubali ni kwamba ka settle tu kwa vile first option zake hakuzipata
Kwenye sherehe za harusi kuna wanaume wanajisifu kukalishwa mwaka kabla ya kumpata mke alie nae, kumbe hawajui kuwa wanajichoresha mbele ya wanawake wengine waliopo ukumbini Hziyech22
Yah nilimpiga chiniKwa hiyo mliachana
Amesema ana miaka 35ungesema umri wake
Yah nilimpiga chini
Yah nilimpiga chini
Huyu mwamba shida itakuwa ameenda kwenye mamiti shamba ameongeza maumbile sasa imekuwa shida.Huyo siyo wako tena funguka akili kaka
Namsamehe vipi msalitiSi ungemsamehe murudiane