Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,

Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.

NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Umemaliza.
 
Mojawapo ya sababu kubwa sana inachangia kuwasababishia wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ni matumizi ya uzazi wa mpango hususan vidonge, sindano, kitanzi na kadhalika.

Nyingine ni mazoea. Eneo la kufanyiwa tendo la ndoa, style ya ufanyaji wa tendo, harufu mbaya kama vile kunuka , harufu ya pombe, sigara, jasho na nyinginezo.

Lakini Kuna hali ya kujisahau kumpa zawadi mkeo. Wanawake karibia wote wanapenda sana kupewa zawadi mara kwa mara. Waweza mnunulia vyombo vya ndani kama vile sahani nzuri, glass, blender, bakuli, vikombe, nguo, hasa za ndani kama vile chupi classic zile, sidiria, underskirt, tight kwa anayependelea kuvaa na kadhalika.

Lakini Kuna kipengele muhimu sana cha mawasiliano. Ujue tendo la ndoa ni maandalizi tangu siku inaanza . Unawasiliana naye? Lugha unayoitumia iwe ya kiungwana, maneno matamu ~ na hii mara nyingi huambatana na credit. Waweza kumtumia vocha lakini ukimfanyia muamala wa taslimu au kwa simu anakaa mkao wa kujiandaa kukulana
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
Siku ukifanikiwa kupunguza tatizo la ajira ni siku hiyohiyo unaingia kaburini, usiniulize kwanini lakini kama huamini fanya hivo.

Duniani Kuna kuzaliwa na kifo tu, mengine yoote ni ubatili.
 
Una uhakika hajajiunga vikoba huyo!!?au Hana mwingine anaemla!!

Hebu chunguza!!!

Kama anakula anashina halafu Hana ham ujue Kuna msela anakamia game huko!!

Nina experience kidogo na hiyo mambo!!
 
Ni kawaida kijana hasa pale unapokula chakula kitamu zaidi na ukashiba ukija kuludi nyumban ukakuta chakula huwezi kula tena utasema umeshiba au hujisikii kula kumbe umeshakul tayari nje
 
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa

Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.

Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?

Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.

Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.

Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?

Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Nipatie namba yake niseme nae
 
Je Unahudumia familia yako vizuri kwa mahitaji ya Msingi?? Mwanamke akishaona unaanza kukwama kwenye majukumu ndio huwa wanaanza kuleta pigo kama hizo.
 
Kama kila kitu kipo sawa kuna asilimia kubwa Unachapiwa au kuna jamaa liko kwenye mchakato wa kumtmba kwa hiyo mawazo yote amehamisha huko njee
 
Back
Top Bottom