Usimwavhee mkuu Walee ukioaaaNi mchaga, na hela naacha mkuu.
Akileta Ujinga lazima akolomewe1. Mchukue mke wako mtoe out siku moja au mbili, nenda maeneo ya mbali sana na kwenu, huko ongea naye kiume
2. Mapenzi ni maandalizi, uwapo mbali jitahidi sana kumtumia sms za uchokozi, kumpa maneno mazuri hata kila baada ya dk 15
3. Jitahidi kuepuka kulala na nguo, sijui night nahihi mara boxer. Epuka kabisa
4. Urudipo kutoka kwenye mihangaiko mletee vizawadi vidovidogo
5. Jitahd kuwa muwe mnaoga naye hususani kabla jua halijazama
6. Epuka kununa nuna ndani (kuwa romantic), usimkoromee mkeo
7. Epuka kumfokea mkeo mbele ya watoto/mtoto kama mmejaliwa kuwa nao/naye
8. Kama ana biashara/shughuli jitahidi kumshika mkono, mshauri kila iitwapo leo
9. Usimtuhumu tuhumu kwa visa mbali mbali.
10. Usimsodoe mbele ya watu mara ndugu, padri au wachungaji au shekhe (hao ni viroboto kwenye mahusiano)
-mara zote waite wazazi wa pande mbili
11. Muombee mkeo kwa imani yako
12. Mpe uhuru mkeo akiwa mbele yako.
Tafuta hela mkuu ili kupunguza dharau ndani, na kufanya heshima ndani.
Kazi nzuri mkuu basi hapo mawiliNi mchaga, na hela naacha mkuu.
kila mmoja anakuja na nyege zake mnamalizana. hakuna mambo ya kuandaana sikuhizi 😆😆😆1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,
Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Hilo nalo nenooooooooo isije kua anamnukisha boxer binti wa watu,7.
Anakataaaa nywele zetu kuleee mafurikoooni??
Dk
Nipe wimbo wa simba wa yuda anangurumaaa wa kijitonyama kwayaa
Hahaha 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆
Huyo amekuchoka...au ana mahusiano mengine...angekuwa na 45 sawaAna miaka 35
Asante sana. Litalifanyia kaziKwanza pole sana kwa changamoto
Naungana na wadau walio Sema kwanza kuhusu dawa za uzazi wa mpango,nina mzazi mwenzangu ambaye yeye akitumia dawa za uzazi wa mpango unaweza fikiri ana mwanaume nje,yani anapoa sana,hana hamu kabisa
Pili,naungana pia na wanao sema mwanamke kufikia umri wa kukoma hedhi au kitaalamu menopause, hiyo nayo inachangia sana
Tatu,Upendo juu yako, wewe ndio unajua je toka awali kuna dalili alionyesha za kutokukupenda,maana wakati mwingine watu wanafunga ndoa kutokana na shinikizo fulani au mazingira fulani lkn kiuhalisia hakukuwa na upendo wa dhati kabisa,with time baadae hiyo hali inakuja kujidhihirisha rasmi,ni muhanga wa hili sikuwa na hamu na mke wangu kabisa yani kufanya mapenzi ilikuwa ni swala pasua kichwa,wakati sex inatakiwa iwe natural tu ,mwisho wa siku nikamuacha maana niliona kama msaliti wa nafsi yangu ,kwahiyo isije mkeo akawa kwenye mazingira hayo.
Sioni mahusiano ya kubadilisha sehemu ya kufanyia sex au stahili za kufanyia sex kwenye swala lako au changamoto yako
Sioni swala la kupeana zawadi kwenye swala lenu labda ndio suluhisho la mapenzi yenu.
Kwa mtazamo wangu naomba uangalie hayo mambo matatu,naamini kabisa kwenye hayo matatu kuna moja au mawili ndoo source ya shida yenu
Nyongeza kama unajua rafiki wa mkeo,ebu ongea nae kwa hekima sana na muombe akueleze ukweli kuhusu mkeo,naamini kuna kitu utakijua tu
Kila la kheri
Wa kuongea naye ni mhusika, hapa tutajuaje kinachomsibu? Alikeketwa?Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Kwakuwa aliyeandika hv n mwanamke, bc mm nakubaliana na ww 100%Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
Mnatisha vijana kuingia kwenye ndoa masharti kama unaomba VISA ya UK by the way yote kwa yote usimuigizie be you, Kwenye mahusiano ya ndoa mimi niliamua tu kuwa Bad boy na kuendesha ndoa kiume na kila kitu ni perfect huu mwaka wa 71. Mchukue mke wako mtoe out siku moja au mbili, nenda maeneo ya mbali sana na kwenu, huko ongea naye kiume
2. Mapenzi ni maandalizi, uwapo mbali jitahidi sana kumtumia sms za uchokozi, kumpa maneno mazuri hata kila baada ya dk 15
3. Jitahidi kuepuka kulala na nguo, sijui night nahihi mara boxer. Epuka kabisa
4. Urudipo kutoka kwenye mihangaiko mletee vizawadi vidovidogo
5. Jitahd kuwa muwe mnaoga naye hususani kabla jua halijazama
6. Epuka kununa nuna ndani (kuwa romantic), usimkoromee mkeo
7. Epuka kumfokea mkeo mbele ya watoto/mtoto kama mmejaliwa kuwa nao/naye
8. Kama ana biashara/shughuli jitahidi kumshika mkono, mshauri kila iitwapo leo
9. Usimtuhumu tuhumu kwa visa mbali mbali.
10. Usimsodoe mbele ya watu mara ndugu, padri au wachungaji au shekhe (hao ni viroboto kwenye mahusiano)
-mara zote waite wazazi wa pande mbili
11. Muombee mkeo kwa imani yako
12. Mpe uhuru mkeo akiwa mbele yako.
Tafuta hela mkuu ili kupunguza dharau ndani, na kufanya heshima ndani.