Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
💯Tatizo la mke wako laweza kusababishwa na Hormone imbalance
1. Kwa maisha ya sasa kuna changamoto kubwa ya Hormone Imbalance kutokana na mfumo wa maisha ya sasa; na pia wanawake wanapotumia njia za uzazi wa mpango ambazo haziendani na miili yao
2. Kuna changamoto ya kuzaliwa kuwa; wapo wanawake na wanaume ambao hawapo active. Wanakuwa na hamu kidogo sana (wapo low); Kwa ujumla watu wapo makundi matatu. Wachache wana ham sana; wengi wana ham ya kawaida na wachache tena wana ham kidogo. sasa mtu (akichukua mwenza wa kundi tofauti lazima mmoja ateseke
3. Tofauti na mwanamme; Mwanamke akiwa na mawazo yoyote ya kumzonga kichwani ham hushuka sana. Yaweza kuwa malezi ya mtoto/watoto, kazi nyingi, kipato kidogo, nk nk
Mkuu
Allah akupe pepo njema kwa misosi ya sasa na afya akili sio hamu tu kwa wanawake hata wanaume gbolaa azipandi kabisa
Takes control kwishna kabisa kule