Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Ana miaka mingapi? Ukute mwenzio ameanza Menopose....muwe mnasoma elimu za afya kuelewa mabadiliko ya mwanamke...
Ukute mmeoana mwanamke ana 35 mmekaa kidogo menopose nayo imebisha hodi
Otherwise mbembeleze kwani unaona shida gani? Always wanawake ndo waanzwa au unataka ubembelezwe wewe? Yani mwanamke ana siku moja tuu anayoweza kuonyesha kutaka tendo ni siku ya ovulation hizo siku zingine ni kutimiza majukumu tuu ndo maana wanyama wa kike wanafanya wakiwa kwny heat pekee...
 
Basi unamuumiza hafurahii
Angekuwa hafurahii asingekuwa ananiomba mara nyingi tufanye ni vile uchovu unatokea baada ya tendo ni kwasababu hayuko fit na .mwili pia unachangia, Kuna wanawake wengine wapo fit haswa unafanya tendo na kesho kama kawa anaingia job ni kwasababu mwili wake una handle vishindo
 
Amesema ana miaka 35 so ameanza kuzaa akiwa na 20+ Hana menopause
 
Kwahiyio unataka kuniambia kwamba ikitokea akawa mke wako mtakuwa mnakulana mara moja tu kwa wiki siku ya ijumaa?
 
Kwahiyio unataka kuniambia kwamba ikitokea akawa mke wako mtakuwa mnakulana mara moja tu kwa wiki siku ya ijumaa?
Alikuwa mpenzi wangu au hukuelewa kwamaana hiyo sipo nae tena
 
Dah!
Pole kwanza mkuu sijajua mkeo ana kimo gani na umbo gani?
Lakini mimi kwa uzoefu wangu kuanzia mahusiano hata ndoa nadhani wanaume waliyo oa wanawake wafupi afu wanene hawakutani na hii kadhia.
Kwani hawa wanawake wanapenda sana mapenzi na inabidi uwe na pumzi ya kutosha

Salamu zangu zote za pongezi ziende kwa wanawake wafupi wanene👍👍

Turudi kwenye mada
Kuna vitu vingi vinaweza kufanya huyo uliye naye asiwe na hisia na wewe. Mambo hayo yanaweza kuwa;

1. Humfanyii maandalizi ya kutosha kabla ya tendo kwani kwenye ndoa nyingi watu wengi wanaishi kimazoea saana unakuta mwanamme anamrulia tu mke wake hakuna maandalizi wala nini na akishamaliza hata kusema ahsante hawezi yeye huyo kageukia ukutani kuchapa usingizi.

2. Huyo mwanamke anaweza akawa anakosa hisia za mapenzi. Hivyo jaribu kuongea nae huwa anakuwa kwenye hali gani kihisia hii itakupelekea kujua tatizo liko wapi.

3. Jaribu kuchunguza mienendo yake. Labda kuna namna anapata mtu wa kumpunguzia hamu zake.

4. Kaka unapopata nafasi ya kupiga mkeo pumbu mpige pumbu kweli kweli hakikisha unamkojoza jitahiti mtiane alfajiri kwani show za alfajiri huwa ni nzuri saana na unaweza kumkojoza hata zaidi ya mara moja.

MWISHO.
Huyo ni mkeo wewe ndiye wa kumfanya awe na hisia na wewe au asiwe na hisia na wewe hivyo kazi kwako.
 
Improve your skills and be a man

Don’t forget vitu viwili…. Alternative and kuchapiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…