Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Mko muda gani kwenye ndoa? Ana umri gani? Mna wtt? Km wapo ni wangapi? Na kajifungua kwa njia gani!?
Wakati mwengine mabadiliko ya hormones ni changamoto sana kwa mwanamke hasa hasa km anakaribia menopause
 

Jamaa anaonekana anampenda na Kumjali Mke wake.

Ni kitu kizur sana.

hili tatizo la Kiufund atalipatia tu suluhisho. Maana kwenye Nia pana njia.

Naona bado uko na wanuka makwapa 😂😂😂😂.

Mm nadhan ishu itakuwa ni jambo ambalo amefanya na Wife kajua. Kwahiyo kapoteza feelings na jamaa.
Anafanya tu ilimradi kumridhisha mwamba.

Afikirie tu. Nadhan Kuna namna inawezekana alimkosea na bidada bado hajakunjua moyo.
 
Hii tamu sana nimeipenda.Asipoifanyia KAZI shauri zake 😝
 
1. Mchukue mke wako mtoe out siku moja au mbili, nenda maeneo ya mbali sana na kwenu, huko ongea naye kiume

2. Mapenzi ni maandalizi, uwapo mbali jitahidi sana kumtumia sms za uchokozi, kumpa maneno mazuri hata kila baada ya dk 15

3. Jitahidi kuepuka kulala na nguo, sijui night nahihi mara boxer. Epuka kabisa

4. Urudipo kutoka kwenye mihangaiko mletee vizawadi vidovidogo

5. Jitahd kuwa muwe mnaoga naye hususani kabla jua halijazama

6. Epuka kununa nuna ndani (kuwa romantic), usimkoromee mkeo

7. Epuka kumfokea mkeo mbele ya watoto/mtoto kama mmejaliwa kuwa nao/naye

8. Kama ana biashara/shughuli jitahidi kumshika mkono, mshauri kila iitwapo leo

9. Usimtuhumu tuhumu kwa visa mbali mbali.

10. Usimsodoe mbele ya watu mara ndugu, padri au wachungaji au shekhe (hao ni viroboto kwenye mahusiano)
-mara zote waite wazazi wa pande mbili

11. Muombee mkeo kwa imani yako

12. Mpe uhuru mkeo akiwa mbele yako.

Tafuta hela mkuu ili kupunguza dharau ndani, na kufanya heshima ndani.
 
Sasa kama mtu ana kitambi huo uhuni atafanyaje kweli!
 
Hapo na ww kausha usiombe game msikilizie kama mwenzi ukiona kimya basi unatombew.a kuna sogea tuishi mmoja nae alikuwa na pigo hizo nisipomgusa basi imeisha na yeye kimyaa mpaka nimuanze mimi nikamsusia kama week mbona usiku mkali nashangaa mjubenga upo mdomoni hawa viumbe Wana utoto mwingi
 
Ndio anatumia njia za uzazi wa mpango.
Mojawapo ya sababu kubwa sana inachangia kuwasababishia wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ni matumizi ya uzazi wa mpango hususan vidonge, sindano, kitanzi na kadhalika.

Nyingine ni mazoea. Eneo la kufanyiwa tendo la ndoa, style ya ufanyaji wa tendo, harufu mbaya kama vile kunuka , harufu ya pombe, sigara, jasho na nyinginezo.

Lakini Kuna hali ya kujisahau kumpa zawadi mkeo. Wanawake karibia wote wanapenda sana kupewa zawadi mara kwa mara. Waweza mnunulia vyombo vya ndani kama vile sahani nzuri, glass, blender, bakuli, vikombe, nguo, hasa za ndani kama vile chupi classic zile, sidiria, underskirt, tight kwa anayependelea kuvaa na kadhalika.

Lakini Kuna kipengele muhimu sana cha mawasiliano. Ujue tendo la ndoa ni maandalizi tangu siku inaanza . Unawasiliana naye? Lugha unayoitumia iwe ya kiungwana, maneno matamu ~ na hii mara nyingi huambatana na credit. Waweza kumtumia vocha lakini ukimfanyia muamala wa taslimu au kwa simu anakaa mkao wa kujiandaa kukulana
 
Wanasemaga matukio huwaondoa ashiki hebu jichunguze huenda unampiga matukio shemeji yetu
 

Makassy Junior - Naleta Mashtaka Kwako Baba Paroko

View: https://m.youtube.com/watch?v=6mDyogb-pyE

MAKASSY JUNIOR BABA PAROKO (long version)

View: https://m.youtube.com/watch?v=-R6y-MyUH0A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…