Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Hilo swali ni la ki intelligensia sana Hziyech22
Hilo swali lako Hali halileti maana halisi kwasababu wanawake wanatofautiana wapo waliharibika na wapo ambao fresh na wenye maadili ambao ili hakukubalie inahitaji muda so sio kila mwanamke anakukubalia mapema kwamba anakupenda la hasha! Na sio kwamba anakukarisha benchi muda mrefu hakupendi no itadepend na aina gani ya mwanamke umekutana nae
 
sio kila mwanamke anakukubalia mapema kwamba anakupenda la hasha!
Hii ni kweli


Na sio kwamba anakukarisha benchi muda mrefu hakupendi no itadepend na aina gani ya mwanamke umekutana nae
We jidanganye, kukalishwa benchi wiki moja au mbili hata mwezi, ni sawa, ila mtu unakalishwa benchi mwaka, hamna mke hapo, akikukubali ni kwamba ka settle tu kwa vile first option zake hakuzipata

Kwenye sherehe za harusi kuna wanaume wanajisifu kukalishwa mwaka kabla ya kumpata mke alie nae, kumbe hawajui kuwa wanajichoresha mbele ya wanawake wengine waliopo ukumbini Hziyech22
 
Upo sawa Kabisa. Wanawake tupo hivo
 
Upo sawa Kabisa. Wanawake tupo hivo
 
Kwa hiyo mliachana
 
ungesema umri wake
 
Mimi sijasema Mwaka inaweza ikawa wiki 2 mpaka Mwezi si Zaidi ya hapo
 
Hamu hana yeye, wewe inakuhusu nini? Fanya yako wewe mwenye hisia maliza unamwacha akiwa vilevile hana hisia. kila mtu ajihangaikie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…