kaa nae, nimekutana na kesi kama hii wiki iliyopita, mwanamke anasema hana hisia kwa mume wake, anaona kinyaa kushiriki nae tendo, kwa sababu akiwa secondari alikua anashiriki homosexual na dadake wa shule, badae wakapotena, japo aliendelea kusagana hadi alipimaliza chuo (na wadada wengine) akaolewa baada ya chuo na baada ya hapo akaachana na homosexual ila mwaka huu kakutana na yule mpenzi wake wa zamani dada wa shuleni, akashiwishiwa akakubali kupasha kiporo, from there, hamtaki tena bwanake, anamtaka yule mdada tuuuu.
kwa kua alifunguka mwenyewe, na anataka kuachana na hayo mambo, nimemtafuta spiritual helper ambae J3 nampleka, i hope after there anaweza kua na nyege hata tani 10 kwa mume wake.
kwa kesi ya mkeo, yamkini nae ni walewale, under normal circumstance, hakuna mwanamke ambae hapendi mapenzi