Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mkuu anakosea kwenye kuvaa na dizani mkewe sista duuh!Unavaa msuli na huku unavuta kiko then unataka kuongozana na sista duuh?
Hahahaa huyu atakua msukuma wa bariadi bila shaka..
 
Machimachi ya mwembe jini usije kushtukiza manake utajisapraizi. Kuna siku niliona kichogo kama cha bibi kikipotelea ndani. Ila mi nilienda kukusanya ya kaisari
Dhambi zako zitafutwa siku Yesu atakaporudi..... nani alikuruhusu kutoa siri za bibi yako?
 
Kazi rahisi sana mkuu mkaze huyo mdogo wake soon wife ataanza kukuheshimu
 
Kashajua unamtetemekea fanya kama hayupo kwa mwezi tu atatia akili
 
To be straight, mkeo Ana masquerade something. Mkeo ni mchepuko wa kufa mtu. Tabia ya kuku criticise hadharani ni dalili moja wapo...Hakupendi, haoni Shida kukuumiza kihisia
 
pole sana
 
Kiufupi mkeo anavunja kanuni ya msingi sana ya ndoa.Kumbuka hata MUngu alipowaumba Adamu na Hawa aliwaagiza watembee pamoja na wasitengane kamwe na pale walipotengana balaa liliwakuta.Sasa mkeo anakuwa kama Hawa atakuletea balaa tu kama la Adamu,injaweza kuwa gonjwa la hatari au balaa jingine lolote...
 
haahahahahahaha nimecheka sana samahani lkn, inawezekana mkeo amekuzidi level ya elimu
 
Kwanini umejikosoa na kuweka neno wewe si mlemavu, thus mlemavu ndo anamwonekano mbaya??
 
haahahahahahaha nimecheka sana samahani lkn, inawezekana mkeo amekuzidi level ya elimu
Elimu inahusika vipi hapa? Acha ushamba na infiriolity complex, kwani DIamond ana elimu gani? Ujinga huu.
 
Kaka usijekuwa unajifagia sura ya kawaida kumbe kitu Lemmy Ongara sasa mwanamke ana isiwe shida. Au kaka kikwapa kitema, hupigi mswaki au hauogi. Kuna kitu kinachomfanya ukuone kama sio type yake. Au kuna mtu anamla ila kamdanganya yeye yuko single.
 
Umetoa maelezo mazuri sana dada,lkn huoni km huyo mke wa mtoa mada ana shida kwasababu jamaa ameshasema kuwa walipokuwa kwao uliotokea ugomvi ambao wazazi waliusuruhisha sasa je km kuna tatizo hilo yeye mwanamke si angekuwa muwazi kuwaeleza wazazi wake???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…