Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Watu mna ushauri wa kikuda ila ngojeni yawakute
Hebu soma vizuri,huo ni ushauri au kicheko and angalia nimecheka nini,nimecheka comment ya mchangiaji na sio mleta mada,sio lazima kuniquote mkuu samahani
 
Hivi unadhani siku hizi wanawake wanaolewa kwamba eti kweli wamependa? noooop!!! wengi hufuata chapaaa....huku pembeni ana mtu wake wa kufa na kuzikana
Mmh,basi tunatofautiana,kulala na kuamka kila siku na mtu usiye mpenda..shughuli
 
Mkuu angalia sana personality yako na hygene ya mwili hasa mavazi na kunukia unapo kuwa na wife wako!

Sasa hadi leo umevaa pekosi suruali imeachia chini imebana juu na shati lako la mchelechele na viatu chachacha nani aongozane na wewe?Hata mm rafikio nitakukimbia tu

Piga JS suit ukipiga na Salvatore Ferragamo shoes nyoa vyema na piga perfume nzuri yy mwenyewe mke ataji feel proud kuongozana na wewe!

Achana na makubazi mkuu ukiwa na wife ehehehe
Hahahaaaa ww jamaa umenifurahisha sana
 
Taabu ya nini? Jibebee Shemeji kwa raha zako, si hakuonei aibu.....
 
Mmh,basi tunatofautiana,kulala na kuamka kila siku na mtu usiye mpenda..shughuli
Fikiria mfano ni wewe, age ya kuolewa ndo inakutupa mkono, unaempenda ukimwambia habari ya kuoana anakuambia baaaado saaaaana....sometims hata hana time ya kuongelea hilo suala. ametokea mwingine hujampenda na hayuko moyoni kivile, but yuko very serious kuoa nini itafanya? naomba jibu
 
Bossman, faida moja ya mwanamke mwenye akili anajua hata jinsi ya kukubadili bila wewe kujua. Kama anavaa kama koffi olomide (hivi koffi anavaa vibaya ama nampenda hadi sijagundua uvaaji wake? Ila ni mwanamuziki, kuimba na suti na tai labda isingekuwa sawa); dawa ndogo tu ningejipa kazi ya kumnunulia nguo. Manipulating from around the corner. Unajua ukishanunuliwa mashati kama 10 na sarawili 5 na viatu pair 3, kila asubuhi ukaambiwa vaa hili shati linakupendeza sana; ukiingia ofisini unahisi kila mtu anakuangalia kwa sababu mkeo kakusifia. Sasa kama umetoka wakati mke kageukia ukutani, utahitaji mama mzazi akujengee confidence upya.
Dear kuna wanaume wabishi anataka kuvaa yale mashati na suruali kubwa kubwa kumzidi yeye tena ukijiroga umnunulie nguo unazotaka ww utapoteza pesa bure kwani hatovaa na wengine nguo anataka aivae siku mbili ukimuelekeza hakubali kwa hiyo bora kumuacha na kumavoid kutoka nae
 
Fikiria mfano ni wewe, age ya kuolewa ndo inakutupa mkono, unaempenda ukimwambia habari ya kuoana anakuambia baaaado saaaaana....sometims hata hana time ya kuongelea hilo suala. ametokea mwingine hujampenda na hayuko moyoni kivile, but yuko very serious kuoa nini itafanya? naomba jibu
Ooh mkuu mimi msimamo wangu uko pale pale,nimpende nisipompenda mtu ntafanya zaidi ya mke wa mleta mada...my happiness first...kila siku nasema humu hio 40+ inikute tu sijaolewa lakini sipo tayari kuwa na ndoa isiyo na furaha
 
Wadau heri ya mwaka mpya,

Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.

Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.

Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.

Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.

Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.

Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.

Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.

Nawasilisha kwenu

pole mjomba., kuna mambo mengi ila mosi yawezekana huyu bint umemuoa akiwa ni muhitaji kwako kwamba alikuona na uwezo kidg kifedha lakin hakukupenda sana wewe kama wewe, wewe si type yake hafanani kutoka na wewe ingawa hiyo ndoa aliiridhia tu kwa vile hakuwa na jins kwa ufupi hakupendezwa na wewe na tatizo hili sio kwa wewe tu mifano hii ipo mingi sana katika jamii.,

''mimi nina broo wa anaishi abroad mkewe yupo Africa lakini sikufichi wakisimama hapo wote utashangaa sana kwanini broo amezaa na kumuoa mwanake huyo yaani broo hapendi ata kumwambia mtu kwamba huyu ndo wife wangu licha kumchukua kwenda naye safari 1 au kufuatana naye na baadhi ya watu wanajuwa.

Pili pengine yawezekana sana kiumri hamulingani yeye bado ni mtoto wewe ni mkubwa ushakuwa mzee, hii haitaki tochi ni shida kwa wanawake wa kisasa kufuatana na mtu mkubwa tena kila siku.

Tatu yawezekana sana wewe mke wako unamuendekeza sana yaani kwa ufupi yawezekana umewekwa kiganjani kwa luga ya mtaani sasa hii ndio mbaya sana mwanamke akishakukuoa wewe katika nyumba tegemea mateso tu mpaka utatiwa kaburini.

Lakini mwisho kabisa emu siku 1 jaribu kumsema yawezekana sana atakujia juu, halafu emu jaribu kutishia kumpa talaka ukimuhisi yuko tayari kwa talaka na chochote mtengane jua hapo kuna sababu nyengine iliyojificha ana mtu ambaye sasa yuko tayari kwenye target yake akitoka kwako ataenda kwake na ikibidi hivyo tena bora kuachana naye asikudanganye mtu ndo ni utulivu, raha, heshima, utii na nk. yakikosekana hayo bora uachane naye atakuzingua zaidi tu
Wadau heri ya mwaka mpya,

Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.

Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.

Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.

Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.

Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.

Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.

Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.

Nawasilisha kwenu

pole mjomba., kuna mambo mengi ila mosi yawezekana huyu bint umemuoa akiwa ni muhitaji kwako kwamba alikuona na uwezo kidg kifedha lakin hakukupenda sana wewe kama wewe, wewe si type yake hafanani kutoka na wewe ingawa hiyo ndoa aliiridhia tu kwa vile hakuwa na jins kwa ufupi hakupendezwa na wewe na tatizo hili sio kwa wewe tu mifano hii ipo mingi sana katika jamii.,

''mimi nina broo wa anaishi abroad mkewe yupo africa lakini sikufichi wakisimama hapo wote utashangaa sana kwanini broo amezaa na kumuoa mwanake huyo yaani broo hapendi ata kumwambia mtu kwamba huyu ndo wife wangu licha kumchukua kwenda naye safari 1 au kufuatana naye na baadhi ya watu wanajuwa.

Pili pengine yawezekana sana kiumri hamulingani yeye bado ni mtoto wewe ni mkubwa ushakuwa mzee, hii haitaki tochi ni shida kwa wanawake wa kisasa kufuatana na mtu mkubwa tena kila siku.

Tatu yawezekana sana wewe mke wako unamuendekeza sana yaani kwa ufupi yawezekana umewekwa kiganjani kwa luga ya mtaani sasa hii ndio mbaya sana mwanamke akishakukuoa wewe katika nyumba tegemea mateso tu mpaka utakufa wanawke ni washenzi sana.

Lakini mwisho kabisa emu siku 1 jaribu kumsema yawezekana sana atakujia juu, halafu emu jaribu kutishia kumpa talaka ukimuhisi yuko tayari kwa talaka na chochote mtengane jua hapo kuna sababu nyengine iliyojificha aidha hahitaji tena kutoka kwako au ana mtu ambaye sasa yuko tayari kwenye target yake akitoka kwako ataenda kwake na ikibidi hivyo tena bora kuachana naye asikudanganye mtu ndoa ni utulivu, raha, heshima, utii na nk. yakikosekana hayo bora uachane naye atakuzingua zaidi tu na kukuumiza.
 
Wadau heri ya mwaka mpya,

Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.

Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.

Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.

Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.

Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.

Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.

Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.

Nawasilisha kwenu
Nilileta uzi kuhusu wanawake wasomi. Elimu yake tafadhari kabla sijaanza kukupa ushauri.
 
Muhim kuongeza mke wa 2 tu huyo ndie utakua unatoka nae kila safar atanyooka tu mwenyewe
 
Hehehe umenikumbusha dingi wangu Mtambuzi. Alikuwa akivaa sarawili yabkidwanzi akiivua ikafuliwe 'inapotea'. Hata akiiulizia tunaitafuta nyumba nzima. Sasa si umfichie kuliko kumzira jamani? Raha ya mume kuambatana bwana, mi nikiona nakimbiwa nitajiongeza fasta lol
Dear kuna wanaume wabishi anataka kuvaa yale mashati na suruali kubwa kubwa kumzidi yeye tena ukijiroga umnunulie nguo unazotaka ww utapoteza pesa bure kwani hatovaa na wengine nguo anataka aivae siku mbili ukimuelekeza hakubali kwa hiyo bora kumuacha na kumavoid kutoka nae
 
duh mkuu hapo kwanza angalia mtoko kwa upande wa kimavazi je unavaa kama hao waume wa wengine. pengine kasoro zaidi itakuwa ktk mavazi hebu jifikirie kwa upande wa mavazi na muonekano wako je wajiweka soap soap....mfano kama sura yako ina ndevu then nyoa usiwe na mandevu takachafua kidevu chote, kama ni nywele piga dawa ile zinang'aa kidogo, angalia upande wa manukato je watumia au lah, tumia gharama kidogo ktk suala la mavazi maana ktk mavazi na muonekano ndo huleta hali hii. kama hayo yote unayatimiza jaribu kuangalia wanaume ambao wife anawakubali wakiwa wanachangia maoni yao then jicheki kuna tofauti ipi kati yao na wao. ila kama hayo yote yapo sawa basi mchunguze mkeo atakuwa na tabia zile za umimi yaani hapendi watu anataka kuwa peke yake. sasa kama hayo yote umeyatimiza basi sijui u dini gani taratibu za kuacha mke zinatofautiana. ila huwezi kuishi na mke wa hivyo maana hata ukiugua sidhani kama atakuhudumia.
nina walakini kidogo na huyo binti ,binafsi kwa upande wangu naishi kama mimi,nina mchumba na ananielewa kua sipendi maisha ya kuiga ,ukiachilia mbali mambo ya kisasa kuna kufanya mambo kwa kiasi hilo tu ndo nazingatia,sasa huyo mkeo kama ana tabia ya kuangalia waume za rafiki zake wakoje then anataka na wewe uwe namna hiyo kua makini!maana mwisho wa siku kama alishin dwa kukutengeneza pasipo kukuonesha waziwazi ni dhahiri kua huyo ana tamaa au matamanio mabaya!me naamini upendo wa kweli upo tu ,kama haupo haupo sio lazma uvae sana kisasa ndo upendwe,unaeza kua simple but smart na ukapendwa sana tu ,unaeza pia ukawa huna sura ya mvuto na ukapewa upendo na mwenza wako popote pale.....kwa namna nyingine huyo atakua amekuona kama sio level yake na hili linaeza likawa limechangiwa baada ya yeye kutongozwa na watu wenye hadhi ya kiuchumu au hata mwonekano mzuri zaidi yako na hivyo basi kutojiamini na kutopenda watu wajue kama wewe ndo mwenza wake maana upo low class according to yeye anavoona ...la kufanya unaeza mwuliza kama mke wako kwanini hua hapendi hiki na kile ....mnaeza tatua au unaeza jua sababu maana kama ndani mko vyema na mambo mengine sawa basi inaezekana uwalakini uliopo unaeza kurekebishika.
 
Machimachi ya mwembe jini usije kushtukiza manake utajisapraizi. Kuna siku niliona kichogo kama cha bibi kikipotelea ndani. Ila mi nilienda kukusanya ya kaisari
Ngoja kwanza nimalize ziara zangu za kushtukiz kwenye nyumba za kulala wageni wanaotokea Torabora na kuelekea Torabora. Tuko bize kusaka watu wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wageni.
 
Back
Top Bottom