Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

mbona mtoa mada hajibu maswali mliyomuukiza? akianza kujibu maswali mliyomuulliza na kutoa ufafanuzi wa mliotoa maon nadhan ataelewa zaid
 
Hehehe huyo wa kwanza aliniponda bwana, nikajitoa akili.
Mi nna damu ya kina donald trump ujue, jua tu la bongo linanitia doa.

Afu unajua sina saa. Hebu fanya kunigiftisha nianze kuongozana na wewe
Unavyopenda misifa.... khaaa!

Hebu nambie hivi sasa ni saa ngapi kwa mujibu wa saa za huko kwenu Afrika Mashariki...
 
Una pesa!au tafuta mchepuko utest kama utakua unapenda kuongozana na wewe!basi mkeo mwingi wa habari'ni pm nikupe data kamili
 
Jali Mambo YaKo Kwa Mda Wa Miez3 Yaan Kiufupi Mpe Likizo Ya Miez Mitatu Mkiwa Hapo Hapo Mjengoni Kwako!
 
Hehehe huyo wa kwanza aliniponda bwana, nikajitoa akili.
Mi nna damu ya kina donald trump ujue, jua tu la bongo linanitia doa.

Afu unajua sina saa. Hebu fanya kunigiftisha nianze kuongozana na wewe
Ngoja kwanza nimalize ziara zangu za kushtukiz kwenye nyumba za kulala wageni wanaotokea Torabora na kuelekea Torabora. Tuko bize kusaka watu wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wageni.
 
Niliskia kuwa baadhi ya ndoa zingingine hazikuanza " i love babay utanioa" but zilianza " baba kasema nirudi nilipolala jana "
kumbuka broo hakuna mwanaume mbaya kama ulivyosema cha msingi

hapo si ana mdogo wake wa kike usilaze damu kiongeze, we huoni huyo mdogo wake alivyojiongeza kwako wanawake always hutumia ishara zaidi kuliko maneno unaweza kaanaye miaka asikwambie nakupenda hasaa wewe zunguka naee mpaka mpate mnachokitafuta
 
Acha zambi
 
Mkuu angalia sana personality yako na hygene ya mwili hasa mavazi na kunukia unapo kuwa na wife wako!

Sasa hadi leo umevaa pekosi suruali imeachia chini imebana juu na shati lako la mchelechele na viatu chachacha nani aongozane na wewe?Hata mm rafikio nitakukimbia tu

Piga JS suit ukipiga na Salvatore Ferragamo shoes nyoa vyema na piga perfume nzuri yy mwenyewe mke ataji feel proud kuongozana na wewe!

Achana na makubazi mkuu ukiwa na wife ehehehe
Hahahaa aisee,nimecheka..
 
mchunguze mkeo kuna aina ya wanaume anawapenda kuanzia mwonekano wao mpangilio wa mavazi .. namnavyoongea na mengine ... pia katika ndugu jamaa na marafiki zenu angalia ni mwanaume gani akikaa naye anakuwa huru .... ila pole au labda mkeo anapigwa na ndugu na rafiki zenu wa karibu hili usiwaze sana nililokoleza mmh lina ukakasi ila nimesema kutokana na mwanamke mmoja yeye hayupo comfortable na mumewe kumbe pale pale watu wanambanjua duh ngumu aiseee.......
muhimu ukiona huwezi kuvumilia zaidi mpe black and white mkeo halafu mwambie matokeo ya hayo na unachoelekea kufanya soon akiendeleza hiyo tabia...........
au labda wewe unasura mbaya yenye ukakazi
Hapo ulipokoleza mimi pia nimehis hivyo...ila akimpa black and white na kumtisha matokeo huyo mke stage aliofika ni anasubiri tu mmewe alitibue yeye amalize
Hili tatizo nashauri litatuliwe kwa utulivu na upendo na litachukua mda mpaka kupata muafaka
 
Sio type yake kwanini alikubali kuolewa nae sasa...
Hivi unadhani siku hizi wanawake wanaolewa kwamba eti kweli wamependa? noooop!!! wengi hufuata chapaaa....huku pembeni ana mtu wake wa kufa na kuzikana
 
Back
Top Bottom