Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kutongozea past ndiyo kukoje?yuko wapi mbona unatongozea past?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutongozea past ndiyo kukoje?yuko wapi mbona unatongozea past?!
Kuna Namna ya kuliza c km Koplo wa kaunta ya mabatini polisi alooumeniwahi nami nilitaka kumuuliza ivi muda wa kuhoji maswali unapatikana katikati au baada????
anataka mwenzake ashushwe kabla hajamalizia
Labda wewe ni mfupi, wanawake wangi hawapendi kuongozana na wanaume wafupi.Wadau heri ya mwaka mpya,
Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.
Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.
Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.
Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.
Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.
Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.
Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.
Nawasilisha kwenu
swali la muhimu hili atujibuInaonekana hayo mambo unafanyiwa sehemu public...hujatuelezea tabia yake mkiwa ndani ya zile kuta 4....huwa unanyimwa? Kama huko pia hadi utongoze, ujue huna chako mkuu!
duh mkuu inaonekana wewe mbabe sana! nkurunzinza ngangari bro alipinduliwa ila akarudi,fanya utafiti wa kina utagundua nini tatizo! na usipende sana kumnyenyekea kila kitu baby why,baby sorry! wewe tayali ni mume angalia usije pinduliwa kama nkulunzinza yeye akawa kichwa wewe ukawa umeolewa!
akavunje bank? hela kuzitafuta ni process sio kama unaenda msituni kuchuma majaninahisi huyu ndugu yetu hana hata mkoko.safari zao ni za mguu na daladala.ushauri wangu atafute hela heshima itarudi! kapendwa Mengi na uzee ule sembuse ndugu yetu hapa hata wajukuu hana.Mwaisa jamaa hapa hana kisu kikali ndio shida.ulofa ni.gharama.
Changia maada! majibu yangu yalikuwa kwa mtoa mada na malafyale.Maswala ya kubomoa benki sijaongelea mimi.akavunje bank? hela kuzitafuta ni process sio kama unaenda msituni kuchuma majani
Sipendagi hii kuulizwa maswali muda wa kugegedwa mmh, ila suggest kutoka out kwendraaa mahali for maongezi muda wa kugegeda ni kugegeda tuuuHAHAHA AISEE INAELEKEA KUNA JAMBO ZITO SANA NYUMA YA HII HABARI WEWE HUJAJUA TUU..MDADISI TARATIIB IPO SIKU ATAFUNGUKA IKIBIDI MUHOJI MKIWA KWENYE GEGEDO TENA KAKOLEA ANAKARIBIA KUKWEA KALE KA MLIMA KA MARAHA UKIONA ANAKUTOLEA NJE KUJIBU WAKATI HUO FANYA KAMA WATAKA KUMKATISHA UTAMU ATAKWAMBIA TUUUU HAHAHAHA UWII MAGU YUKO WAPI ANIKAMATE MUDA WA KAZI NAANDIKA MAMBO HIZI😱😱😱
Hahaha nimecheka kama mazuri!
Kwanza nianze na disclaimer. Binafsi i love flaunting my man around, kwa sababu siwezi kutoka na mwanaume ambae i am not proud of.
Hisia zangu ni kuwa huyu dada hakuwa hivi mwanzo. Atakuwa alimpenda kwa dhati huyu mtoa mada lakini ikafika mahali akawa hayuko proud tena na mumewe. Na suspicion yangu ya kwanza ni kuwa mwanaume anafanya ujinga (labda wa kuwa na affairs) hadharani kiasi kwamba dada anaona aibu kuitwa mke wa fulani.
Mahusiano ni mtihani. Ila mtihani mkubwa ni mwenza kutokuwa proud na wewe. Kama huwezi kurekebisha hiyo kasoro iliyomfanya aanze kukukimbia, jiandae kisaikolojia manake anakupigia mahesabu ya kukuacha aisee. Kama hujui sababu muulize mdogo wake ama rafiki yake wa kike. Wanaume huwa hawaoni sababu za wazi kabisa. Niamini, mwanamke hawezi kukukimbia kwa sababu ya muonekano ila kwa sababu ya how you make her feel.
Afu wewe The Boss, unanichimba eeh!
Jamani mdada upogooo??????
Wewe nimekununia. Yaani nikakukalia matanga kabisaa. Kufuta hii uje na mbuzi anaetembea na kichane cha ndizi mshare
Hahaaa nimecheka kwa kweli
una uhakika hujamuoa BADILI TABIA ?
au King'asti ?
hadi kuongea anaogopa utamuaibisha?
level ya mkeo shule ikoje?kulinganisha na yako?
unavaaje?kama Kofi Olomide?