Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mwambie tatizo ni nn kama hakuambii kula mdogo wake tu si yeye anakubali kutembea pamoja ndiyo mzuri
 
kwa nini sasa? Hivi ombi langu umelipokeaje ww mtoto wa Kibondei?
utaniweza lkn??? Sitakiwi kufanya kaz yeyote, zaidi ya kukaa na kanga moja, kuoga, kufusha udi na kupaka wanja kukusubiri wewe urudi toka mihangaiko
 
This is one side story very difficult kufanya judgement Ila kama hujafanyaa chochote kwa mkeo mpka akawa hvyo wala usipate tabu... Huna haja ya kumuomba mwnde wote na si lazma muende wote sehem moja kama hakuna ulazima
 
navyompenda mmasai wangu yaani nataman kila saa niwe namwona tu duh tupo tofauti kweli
 
Ni simple, nenda shop kanunue pamba za maana pulizia manukato yako yasiyoboa.. Mwambie baby kuna appointment naiwahi. Utasikia tu "baby twende wote".. Ila kwa uvaaji wako lazma awe buzy na kazi za nyumbani
 
Kwani muonekano wako ukoje?Je kabla ya Ndoa ulikua unaonekanaje?Je Mavazi yako yakoje?Je Kipato chako kikoje kwa sasa? Je Umri wako na yeye mmepishana na kama ndio ni kwa kiasi gani?
Labda umeoa sister do na sasa anakuona unamuaibisha .Jaribu kujiweka kile leo, Punguza Kitambi,kama una upara kichwani, nyoa nywele zote usiache upara uukatokea , kama umenenepa jaribu kwenda Gym , tengeneza mwili na kama suala ni kipato , jaribu kwa kila njia kurudisha kipato chako.
Kama yote hayo ni yuko vizuri, basi labda tabia yako unavyo mtreat mbele za watu ni mbaya , labda unamuaibisha ,kumkaripia au kumshusha ukiwa kwenye public au pia ina wezekana hujatulia una michepuko na mkeo kaisha choka, hiyo tabia yako ameshambiwa sana na anaona kichefu chefu akiwa na wewe sababu mashoga zake wana mcheka kwamba kaolewa na Mchepukaji na yeye hawezi toka kweye ndoa kwa sababu kadhaa.jaribu kubadilika labda utaona mabadiliko .
 
Last edited:
Brother angu hapo mke hatuna........fanya hivi.........we fanya mambo yako...kadi za harusi lipia single....unaenda mwenyewe.........acha mitoko naye
 
  • Thanks
Reactions: nao
Utamponza mtoa mada wewe! Yani katikati ya raha tena aanze maswali eti "kwanini Jumamosi iliyopita hatukuongozana kwenda arusini"
umeniwahi nami nilitaka kumuuliza ivi muda wa kuhoji maswali unapatikana katikati au baada????
anataka mwenzake ashushwe kabla hajamalizia
 
Yote kati ya haya yanawezekana

1. Anagegedwa sana na wanaume tofauti kila mtaa kwa madai yuko single.

2. Anajenga mazingira ya kuwa single ili apate fursa nyingi zaidi, yaan hajatulia

3. Ulilazimisha ndoa wakati haukuwa moyoni mwake kabisa.

4. Aliolewa na wewe kwa kukuonea huruma pengine ulikuwa unalialia sana.

5. Anaona sio type yake ila type yake ipo.

SULUHISHO.
Badili style ya maisha kwake kwa kufanya approach mbalimbali
1. Anza kumpa kerebu za siku moja moja chumbani halafu unaomba msamaha.
2. Mpotezee kama miezi miwili au mitatu umuone reaction yake
3. Mpe makavu laivu aijue nafasi yako kama mwanaume sio kuwa mpole mpole maana inaonekana kakupanda kichwani huyo.

Mwisho!!
Naomba nisiongee sana maana sijaoa, ila Yesu akusaidie kuponya ndoa yako.
 
Mbona siku hizi kuvaa kama masia motee ni fashion? Kuna kijana ofisini anavaaga sarawili nyekundu ama ya pink, huwa namuambia yeye ndio kipimo cha uzee wangu. Na tshirts kama za kike vilee?
au anavaa kama mwanamazingaombwe.......
 
Ukizingatia kupewa kwenyewe kwa kuvizia. Hehehe manake ukishaona hakuna kuandamana ujue hata maandalizi ni hafifu.
umeniwahi nami nilitaka kumuuliza ivi muda wa kuhoji maswali unapatikana katikati au baada????
anataka mwenzake ashushwe kabla hajamalizia
 
Hahaaaaa eti wakiita wabaya sitokei wala mahandsome sitokei!!!!!"!"

Ebu muulize anapendelea uvae mavazi ya aina gani
Na kuhusu maongezi labda unasifia wa nje sana
Muondoko wako ukoje?
 
Dah pole sana. Kwangu mimi haikuwa mke ila rafiki wa kike. Yani tukiwa kwenye kundi la marafiki au watu tumetoka nao... atanikumbati... kudeka... kunipiga mabusu.. mara aniambie nimkiss... mara nimshike kiuno... mimi nilikuwa sipendi kwa sababu nina aibu sana... kweli watu hutofautiana..
yuko wapi mbona unatongozea past?!
 
Back
Top Bottom