Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Kama ni muonekano rekebisha
Mavazi- vaa nguo zinazoendana na mwili wako.
Zisiwe manguo makubwa au vibano.
Usafi- Kuoga na kujisafisha kwa ujumla.
Harufu ya mwili, miguu, mdomo. Nukia ila harufu nayo isiwe ya kukera.
Kwenye maongezi penda kujifunza zaidi kuliko kubishana.