Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ulimgegeda nani yake kwani?Kakaza kishenzi na hana mpango kuna mtu juu hapo kasema akitokea boya mmoja akam sound isha ndio itakuwa kimoja. Na wanawake wakipenda si ndionimetoka tena ndugu nahaha tena kama watoto waliobalehe
Ivi Hawa wanawake wanaoliwa na ma ex wao ..ni kwamba waliachwaga wakiwa hawajifika point of no return???Mwanamke ni mvumilivu mno, lakini akifikia point of no return ni ngumu mno kumshawishi arudishe majeshi.
Vp wanawake wanaondelewa kugawa Kwa ma ex ..ni kwamba hawakufika point of no return.....Ndo maana Bado wanagawa k zao Kwa ma ex ..wakati wameshaolewa?Kuna ndoa wamekaa miaka karibia arobain ila wameachana kwa talaka, wasichojua wanaume wanawake huwa tunavumilia maumivu hadi yanapoa tukishaanua inakuwa point of no return.
Nimependa sana mrejesho wako, Hornet!Mkuu kwa wanawake huwa ni tofauti kidogo akiteseka muda mrefu kisha akafanikiwa kuchukua maamuzi kurudi ni ngumu mno
@cariha khaaa[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23] mtu aliyeniuzi akinitishia hivo namsaidia hyo process ya kujinyonga
Habari wakuu wa kaya. Iigweee
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.
Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. AMEGOMA KUNISAMEHE AMEONDOKA, NAUMIA KUWAZA KUNA MWANAMME ANAWEZA KUMMLIKI.
Msinishauri nijikaze,siwezi siwezi siwezi kuona kuna mwanaume atakuja kuwa anatambulika kama baba au uncle kwa wanangu, nasema siwezi.
Ameacha kila kitu nyumbani ina maana kuna mtu ataenda kumnunulia vingine au? Nimejenga ila sioni faida ya kuishi kama watoto wangu hawazunguki nyumbani hapa na kelele zao.
Siamini kuzaa nje ovyo ovyo najua madhara yake. Nifanyaje arudi mama Doreen wangu. Amenivumilia mno. Najisikia vibaya sana naishi kama mhuni tu nyumbani. Nifanyeje arudi. Nizeeke mwenyewe au mtu mpya hapana hapana.
Mtakaotukana tukaneni tu. Nahitaji njia za kumrudisha. Yupo kwao
Hahahahhahhaaa yani hayana mmoja hayaKwa hiyo mtani tutegemee Mangi ale kitasa!
Wakati watu wanajisevia na akiwepo.Allan anajikuta Allan mtamu, eti mke hawezi kubanduliwa.. πππ
Swallo your pride, mbwiga wewe.Naona hUna ushauri wa maana fresh
Snow muache baba Doreen ana machungu....πSwallo your pride, mbwiga wewe.
Mnajifanyaga hamjali mnawatesa wake zenu wakiondoka kutujazia servers hapa.
Kiburi hakikusaidii wala nn.
Na kama this is how unasolve issue zako, HARUDI!!
Siku hizi na mimba tunabeba na talaka haijatoka!Simpi talaka yoyote hata iweje kwa sababu nyingiii kikubwa wanangu wasipata anko mpya maana waifu nae anavyopenda mchezo wetu wa wakubwa dah
Yaniii hana anachokifanya kwa haya mabavu.Snow muache baba Doreen ana machungu....π
Like we care, kuwa bila talaka.Umeshaachwa hafu wewe ni mjeuri kweli wake wakiwaheshimu mnawaonaga wajinga hawana option. Nikupe tu pole kwa kweli inabidi uzoee
Yani mwanamke anaweza kukaa maiaka na miaka.Kimya, analia na kusihi tu.Kuna ndoa wamekaa miaka karibia arobain ila wameachana kwa talaka, wasichojua wanaume wanawake huwa tunavumilia maumivu hadi yanapoa tukishaanua inakuwa point of no return.
Ningekua ndio mama Doreen hiyo video ya puli nawatumia ndugu zake ππππPiga puli mpigie video call aone unavyoteseka lazima arudi chap chap......
Mpeleke hata hoteli nzuri alale siku moja umuombe msamaha,sio unatuma msg za tigo tuAsante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Hao wanagawa k ili kulipiza waume zao, ila tumetofautiana mimi ex tuachane mazima staki mazoea natafta kitu mpyaVp wanawake wanaondelewa kugawa Kwa ma ex ..ni kwamba hawakufika point of no return.....Ndo maana Bado wanagawa k zao Kwa ma ex ..wakati wameshaolewa?
[emoji23][emoji23] wanawake tukiamua ni point of no return bana@cariha khaaa[emoji15][emoji15]
Wanaume hutesa wake zao na wake huvumilia huku wanawatoa moyoni taratibu huku mwanaume anajua mkewe ni mjinga hana options akishamtoa moyoni ndo ana move on, sasa mwanaume ndo anashtuka na kuanza kulia Lia huku mkewe kashapona maumivu, and it's hard mwanamke aliyevumilia kurudi nyuma. Kinachofanya wanawake wateseke ni wale wasio na kipato tuLike we care, kuwa bila talaka.
Ahhahahahhahhahahahahahaa akae na gamba lake
Na atakapoamua anaweza kwenda enda kuishi na mtu mwingine vile vile na hakuna kitu utafanya
Na anaweza kumtia ndani akienda kumfanyia vurugu.
Sa hiz wanawake wana akili mbovu kama kidogo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]