Kiukweli itafika kipindi hili ndio litakuwa jibu rahisi kwa maswali kama hayo😁KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTUMWA KWA MWANAUME
KATAA NDOA, KATAA UTUMWA.
Naona sijakiangusha chama
Kosa: Kutegemea pesa ya mwanamke.Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Nakazia, kATAA NDOA LINDA UHURU WAKOKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTUMWA KWA MWANAUME
KATAA NDOA, KATAA UTUMWA.
Naona sijakiangusha chama
Ndoa si Utapeli. Kukosa maarifa ndo inakufanya kuiona kama utapeli. Wengi mnaignore red flags mnawachagua 304's woman, mnacommit halafu mnaanza kulaumu taasisi ya ndoa kuwa ni utapeli.KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTUMWA KWA MWANAUME
KATAA NDOA, KATAA UTUMWA.
Naona sijakiangusha chama
Is this true? au unaleta cenario ya kuchangamsha JF?Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Aliekwambia uoe mfanyakazi ndio kakupoteza, wenzako tuliyajua mapema hayo tukayakwepa. Hujachelewa piga chini huyo tafuta mama wa nyumbani.Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Aliekwambia uoe mfanyakazi ndio kakupoteza, wenzako tuliyajua mapema hayo tukayakwepa. Hujachelewa piga chini huyo tafuta mama wa nyumbani.
Hayo mambo ya ukifa anajua Mungu mnaweza kufa woteHuyo mama wa nyumbani ukifa ataweza kuipa familia yako mahitaji yote muhimu .
Mtoa mada hajakosea kuoa mwanamke mwenye kazi huwezi kuijua KESHO.
Hapo ndio shida ilipoanzia, baada ya wewe kuweka miundombinu ili ukiondoka duniani familia yako isipate shida, unamtegemea mwanmke.Huyo mama wa nyumbani ukifa ataweza kuipa familia yako mahitaji yote muhimu .
Mtoa mada hajakosea kuoa mwanamke mwenye kazi huwezi kuijua KESHO.
Hayo mambo ya ukifa anajua Mungu mnaweza kufa wote