DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapo ndio shida ilipoanzia, baada ya wewe kuweka miundombinu ili ukiondoka duniani familia yako isipate shida, unamtegemea mwanmke.
Tatizo consistence , waswahili kumuachia miundombinu wengi 90% hawana uwezo wa kuiendeleza tazama wajane wengi wameachiwa Mali Ila wamerudi tayari katika umasikini mkubwa.
Ila wenye kazi zao wanaendelea vzr Ru
So hapa tunaangalia na aina ya WATU tulionano katika nchi.