Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

Kuna wakati unaweza kusema huyu ni mke au shetani.

Kuna ndugu yangu mke wake alikuwa anaweza kwenda hospitali, akaacha kuchukua dawa kwa bima, akaenda pharmacy na kuchukua dawa at inflated prices, baadae anakuja kudai refund kwa mume.
 
Sitoagi ushauri bila kusikiliza upande wa pili.
Mkeo nae aje aseme yake.ndo tutajua tatizo liko wapi

Ukute tunaanza kumsimanga tu hapa mbinafsi Hana upendo..kumbe we una nyumba ndogo pesa ndo mana hazitoshi wamtia uchungu mkeo.tutajuaje?

Sisemi neno mie.maana najua vyovyote atavyobehave mtu Kwa asilimia kubwa ni matokeo ya vile unavyomtendea.
 
Wewe jamaa utakuta ukishatoa hela ya kula ndio basi unashindwa ata kumhudumikia mkeo mahitaji yake kwa sabab ana vijipesa vyake

Lazima mwanamke awe mbinafs hela zake halaumiki ata kdg.
Hii ni story ya upande mmoja kumbuka! Ulichoandika kinawezekana au Si ajabu huyu jamaa ana Mchepuko na mkewe alishamfumania. Hapo atakuwa anamkomoa
 
Sitoagi ushauri bila kusikiliza upande wa pili.
Mkeo nae aje aseme yake.ndo tutajua tatizo liko wapi

Ukute tunaanza kumsimanga tu hapa mbinafsi Hana upendo..kumbe we una nyumba ndogo pesa ndo mana hazitoshi wamtia uchungu mkeo.tutajuaje?

Sisemi neno mie.maana najua vyovyote atavyobehave mtu Kwa asilimia kubwa ni matokeo ya vile unavyomtendea.
Nakubaliana nawe!
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake.

Je nifanye nini!
Ukiona ndoa Ina miaka mingi ujue kiwango Cha uvumilivu kwa mwanaume ni kikubwa mno,
Ndoa ikiyumba juwa mwanaume anapunguza uvumilivu.
Nakushauri kiongozi angalia madhaifu ya mkeo kama nihilo tu basi linavumilika, Kuna mengine makubwa wanawake wanayo usiombe ukutane nayo.
Miongoni mwa mitihani mungu aliyotuumbia ni wanawake kwakweli usikute wanaume tuna pepo zetu kwa kuvumilia na kuishi na Hawa viumbe wallahi.
 
Kuna mambo nataka niyaweke sawa hapa, manake naona kuna vitu wanawake hua hawaelewi.

1. Suala la mwanamke kufanya kazi inatakiwa iwe ni makubaliano kati ya mke na mume. Mwanamke anapoamua kufanya kazi, maana yake ana "sacrifice" muda ambao alitakiwa akae nyumbani kulea watoto. Hii inamaanisha kwamba, lazima kitendo cha mwanamke kuacha watoto na kwenda kazini kiwe kina faida kubwa zaidi kwa familia kuliko kitendo cha kukaa nyumbani! Kama mwanamke anafanya kazi, na hela yote anayopata anaitumia YEYE MWENYEWE TU bila familia (ikiwepo mume na watoto) kunufaika kwa chochote, basi mke huyo hajitambui na ni bora aache hiyo kazi akae nyumbani!

Wanawake wengi hua wanadhani kwamba wanapoenda kufanya kazi, hela yote wanayopata NI YAO. Hili ni kosa, kwenye ndoa hakuna hela yako, hela ni ya familia!

2. Familia ni mali ya mwanamke! Infact, sisi wanaume ndio tunaowasaidia wanawake kulea watoto wao, na sio kinyume chake. Kazi ya kuzaa na kulea ni kazi ya mwanamke, watoto ni mali ya mwanamke, mwanaume unasaidia tu kulea, manake kwanza huna hata uhakika kama watoto wenyewe ni wako! Ndio maana siku yoyote likitokea la kutokea mwanamke ndio anachukua watoto anasepa. Sasa inashangaza kuona mwanamke anafanya kazi halafu hataki kutumia kipato chake kwa watoto wake! Huko ni kutokujitambua.

Nina mengi ya kuandika ila sina mda.
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake.

Je nifanye nini!
Hao ndio wanawake jamii yao ni moja ndio.maana imeibuka kampeni ya kata ndoa humu
 
Sitoagi ushauri bila kusikiliza upande wa pili.
Mkeo nae aje aseme yake.ndo tutajua tatizo liko wapi

Ukute tunaanza kumsimanga tu hapa mbinafsi Hana upendo..kumbe we una nyumba ndogo pesa ndo mana hazitoshi wamtia uchungu mkeo.tutajuaje?

Sisemi neno mie.maana najua vyovyote atavyobehave mtu Kwa asilimia kubwa ni matokeo ya vile unavyomtendea.

Unakuta jamaa mchoyooo
Mbinafsi motooo 😂😂
Akikwama anakuja kujitilisha huruma
 
Mimi nazn hyo ni wake up call kabla hujawaz mzee ni muda wa wew na yeye kuachana peaceful ,

Gawaneni mali muanze kulea watoto hiyo sio ndoa tena ni business, Karne hii mwanamke anapasw kutoa mchango ndan ya familia yake kama anafanya shughuli za kiuchumi(ajira)
 
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake.

Je nifanye nini!
Mnapoanza mahusiano kabla hamjaoana hukulijua hilo ndugu? Maana sidhani kama kaanza taba hizi baada ya kuingia katika ndoa, lazima kulikuwa na viji dalili vya namna hio kwenye uchumba. Kama ulivipuuzia basi pambana na hali yako. Baadhi ya masuala ukiyaona katika uchumba usiyapuuze, chukua hatua.
 
Amekwambia anamtegemea mwanamke? Mke ameshindwa kutambua wajibu wake katika familia. Alipaswa kujua namna nzuri ya kugawa kipato cha familia. Kama mme na mke wote wana kazi kwa nini mwisho wa mwezi wasiweke mezani walichopata na kupanga bajeti pamoja? Ili sehemu inayobaki wafanye miradi ya familia! Mwamba kaoa takataka!
Mkuu labda mwanamke ana majumu mengi kwao yeye ndiye kichwa cha famolia, wanawake wa sikuizi tofaute na Mama zetu, Mama zetu walipo olewa walikuwa awajengi kwao na wazazi wao walikuwa awawategemia, sikuizi mabinti na wao wanataka kupabadilisha kwao mfano kwao kuna Nyumba siyo nzuri yeye atataka kuibomoa na kujenga mpya ya kisasa na aezeke bati ya msouth.
 
Unakuta jamaa mchoyooo
Mbinafsi motooo [emoji23][emoji23]
Akikwama anakuja kujitilisha huruma
Na Ukute ana kipato kikubwa mara tatu ya mke bado analialia.
.mke hapo Ukute anajitunza mwenyewe bila Senti ya mume.bado apewe majukumu mengine[emoji23]
 
Back
Top Bottom