DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapo ndio shida ilipoanzia, baada ya wewe kuweka miundombinu ili ukiondoka duniani familia yako isipate shida, unamtegemea mwanmke.
Kuna wanawake ni wabinafsi sana na pasua kichwa, ni kuishi nao kwa hekima hivyo hivyo tu.Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Wazee Wa Points Tatu Muhimu Home And AwayKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTUMWA KWA MWANAUME
KATAA NDOA, KATAA UTUMWA.
Naona sijakiangusha chama
Ma kataa ndoa mnayapaga pointi tu! Umeona takataka mkuu! Kwa hiyo hela yake anapeleka wapi? Uzeeni utapata taabu sana!Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
Wacha pesa za matumizi ya familia, na mlipe anapotumia za kwake. Utafanya nini la ziada?!Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake jee nifanye ninj
chini ya udhamini wa shetanikATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
kATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
kATAA NDOA LINDA UHURU WAKc
We ni msenge, am sorry 😔🙏Kwamba unamuomba pesa mkeo anakupa na riba unakuja kushtaki jamiiforum???
ILa mambo mengine ya aibu sana
Wengi mnaignore red flags mnawachagua 304's woman, mnacommit alaf mnaanza kulaumu
Niko sambamba na bimkubwa wako 👌🏾We ni msenge, am sorry 😔🙏
Amekwambia anamtegemea mwanamke? Mke ameshindwa kutambua wajibu wake katika familia. Alipaswa kujua namna nzuri ya kugawa kipato cha familia. Kama mme na mke wote wana kazi kwa nini mwisho wa mwezi wasiweke mezani walichopata na kupanga bajeti pamoja? Ili sehemu inayobaki wafanye miradi ya familia! Mwamba kaoa takataka!Hapo ndio shida ilipoanzia, baada ya wewe kuweka miundombinu ili ukiondoka duniani familia yako isipate shida, unamtegemea mwanmke.
Sasa nini maana ya ndoa!? Zamani mke alitunzwa na kumtegemea mmewe kwa kilakitu sababu hakuruhusiwa kufanya kazi wala kumiliki mali yoyote ila kwa kizazi hiki cha 50/50 haina maana kuwa na mke mfanya kazi ambaye hachangii chochote mezani. Bora abaki kuwa mama wa nyumbani asaidie kazi za hapa na pale.Kosa: kutegemea pesa ya mwanamke.
Usimlazimishe mwanamke kukupa kitu chochote kile. Hakuna mwanamke anayependa kuangalia chini. Elewa nilichokiandika.
Cha kufanya: Endelea na maisha yako, timiza mahitaji yote yanayohitajika na familia yako, ila usisahau kujipenda pia, raise your attractiveness ili kuongeza value. Panua fikra zako kutafuta channel zaidi ya moja ya pesa, ukimkopa, fanya biashara , then rudisha pesa zake, tumia faida kuendeleza biashara yako. Usionyeshe uko needy na pesa yake, we ishi as if you don't depend on her.
Huyo mwanamke mwenye kazi kama kununua chumvi tu hawezi, ataweza kuisaidia familia ukifariki!? Mke ni mama wa nyumbani nje ya hapo ni kujitafutia stress.Huyo mama wa nyumbani ukifa ataweza kuipa familia yako mahitaji yote muhimu .
Mtoa mada hajakosea kuoa mwanamke mwenye kazi huwezi kuijua KESHO.
Shetani mko naye kwenye ndoa.chini ya udhamini wa shetani
Huyo mwanamke mwenye kazi kama kununua chumvi tu hawezi, ataweza kuisaidia familia ukifariki!? Mke ni mama wa nyumbani nje ya hapo ni kujitafutia stress.
#THAMINI UHURU WAKO KIJANA
#KATAA NDOA
Ulisha kufa umekufa, acha kuhangaika mambo ya nikifa itakuaje ishi maisha yako sasa ungali hai, ukishakufa Mungu atawapa familia yako namna nyingine ya kuishiHuyo mama wa nyumbani ukifa ataweza kuipa familia yako mahitaji yote muhimu .
Mtoa mada hajakosea kuoa mwanamke mwenye kazi huwezi kuijua KESHO.
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake.
Je nifanye nini!