Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

Sasa mkuu hicho si? kinazungumzika? Ni swala la kukaa na kuongea na mmewe wakaelewana. Sasa anapofanya kimya kimya inakuwa kama anaiba mali ya familia yao na kuipeleka mahali ambako tayari walishamuaga! Mabinti wanasahau tu kwamba huko wanajiita nyumbani kwao kiuhalisia siyo kwao ni kwa kaka zao!
 
Best advice ever! Wanaume tafuteni hela mtuhudumie!
 
Huu ushauri wako kuna mahali una makosa. Ndoa ni pamoja kushirikiana katika shida na raha. Kwenye matrimonial property na hela za mke pia zimo. Sasa si vema kumwambia mume asiombe pesa kwa mkewe au mke asinunue mahitaji ya nyumbani wakati uwezo wa kufanya hivyo anao.
Ushauri wangu ni kuwa mke aache kazi atunze familia kwani huo ndio wajibu wake na mume abaki na jukumu la kutoa gharama za matumizi ya kila siku kwa familia. Dhuluma kama mke anatumia muda wa mumewe kufanya kazi halafu mshahara anaopata hataki mumewe autumie.
 
Kwamba unamuomba pesa mkeo anakupa na riba unakuja kushtaki jamiiforum???
ILa mambo mengine ya aibu sana
Hawa ndio wanashikishwa ukuta.
Utaombaje pesa kwa mwanamke kwanza.na unaloloma km vile ulimpa.
 
Umemaliza bro
 
Huna akili ww na mkeo , kweli mbuzi na mbuzi wanaishi pamoja , hatuna Cha kukushauri pambana na Hali Yako , kama huwezi kuhandle issue kama hizo huna sababu ya kuwa mme wa mtu
 
Ni kabila gani huyo?

Je mlipendana wenyewe au mlikutanishwa na wazazi?

Kutoka uchumba mpaka ndoa imechukua muda gani?

Mna level gani ya elimu wewe na yeye?
 
Kuna wakati unaweza kusema huyu ni mke au shetani.

Kuna ndugu yangu mke wake alikuwa anaweza kwenda hospitali, akaacha kuchukua dawa kwa bima, akaenda pharmacy na kuchukua dawa at inflated prices, baadae anakuja kudai refund kwa mume.
Duuh mboni hatari,
Kampenj yetu kataa ndoa[emoji3514][emoji3514]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…