Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Umewasha indiketa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hapa nacheka balaaa
Ha ha ha ha, indiketa tu inaweza kuwa mzozoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mara mbona umemsogelea sana huyo wa mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajiuliza sasa gari naendesha mimi ila kwa maelekezo ya navigator kweli? πŸ˜… mara kaa kati kati
 
Ha ha ha ha, indiketa tu inaweza kuwa mzozo[emoji28][emoji28][emoji28] mara mbona umemsogelea sana huyo wa mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Tegemea kuombwa talaka muda wowote hapo huna mke kashakua matawi ya juu. Wanawake wengi akishajiona anaongoza kipato kikubwa anatamani awe huru Kama hauamini chunguza marafiki alionao sasa angalia Wana tabia gani
Ahaaahaaaahaaa [emoji1787]

But sio tabia nzuri hata kidogo....mwanaume ni wa kuheshimiwa no matter what labda kama humpendi ndo unaona zigo
 
Mkeo ni mbinafsi. Si ajabu hata unyumba utakuwa unapewa kwa mashariti. Nakushauri mwachie gari yake, wala usiiguse hata siku akitaka uiendeshe usiendeshe. hata kama mtakuwa na safari ya pamoja usipande gari yake.
Ngumu sana hii
 
Bora yako wewe, wengine siku mume atayoomba gari atahakikisha kamletea taa ya tank imewaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ili tu asitumie mafuta aliyoweka yeye
 
Mbaya ni mke wake sio sisi watoa hoja na ushauri. Wewe unaona alichofanya mke wake ni sawa?? Wanawake mkipata pesa sijui mnakuwaje . Na ndio maana wengi wenu Mungu hajawajalia.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ahaaahaaaahaaa [emoji1787]

But sio tabia nzuri hata kidogo....mwanaume ni wa kuheshimiwa no matter what labda kama humpendi ndo unaona zigo
Hiyo ya kutokumpenda inawezekana kwa sababu mwanamke akitaka kuolewa wanakitu wanasema kujifunza kupenda (developing love)Sasa mapenzi ya namna hii wakati mwingine hayana uhalisia kwa iyo akishapata nguvu ndio anagundua hana mapenzi na huyo mtu
 
Duuuh

Kweli wanawake selfish asee[emoji848]
 
Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake kwa sasa. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
Thats true my brother, usipokula ndumu unakuwaga real kichizi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…