Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Mkeo angekuwa rafiki yako asingefanya haya. Ni mkeo lakini sio rafiki yako!
Heheheheh kweli, kuna wake ambao sio friendly kabisaπŸ˜… yani anakuwa mke as mke ila hana element ya ushikaji na wewe kabisa!
 
Hahahahhaha kmmmk walai! Kakutengeneza kwa ufundi upi alio nao?
 
Sisi ni watu wa ajabu sana. Hapo gari lingekua la mwanamke angelichukua bila hata kuomba. Na angepewa bila gubu. Shida sisi ni wabinafsi sana.

Sent From Galaxy S9
Lingekuwa la mumewe angelitumia freely na kuligonga pia kisha anapiga simu tu beby nimegonga pikipiki huku njoo unisaidieπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Lingekuwa la mumewe angelitumia freely na kuligonga pia kisha anapiga simu tu beby nimegonga pikipiki huku njoo unisaidieπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hahahahhahahhah unanuna unaenda kutengeneza na maisha yanaendelea
Wanawake wa hivo ndo wanafanya mabachela wazidi kuwepo
 
Sasa ww unataka hizo kero zake azitolee mbinguni?? Eti social media kwani watu walioko huku kwwnye social media ndio hao hao waliopo huko mtaani ambapo angewafuata huko mtaani.
Acha kuwa na mawazo kama ya mtu aliyezaliwa kipindi cha Nyerere.
Tena hapa ndio pazuri maana identity ni anonymous hamna trace zitabaki wala kusambaa kwa story mtaani kama ambavyo ungeamua kumsimulia kinyozi wako au dada pale grocery unapokunywa!
 
Mimi nisingegusa hiyo gari. Halafu ndani mkishaanza hiki kanunua mke ni chake basi ndoa si imara tena.
Mke wa namna hio ni kujipanga mapema tu kununua shamba mahali huko na kuanza ujenzi mpya kimya kimya😎 tuwe makini sana na wanawake wetu hawa! Mko family ila gari ni lake hataki uguse kumaniner sio kwa mpare mimi.

Mke mbinafsi atakusumbua wewe na atawafarakanisha ndugu zako na wewe sababu ya kiroho cha choyo!
 
Nunua na wewe la kwako....simple.
 
Ushamba tu ndo inamsumbua mkeo, yaani mpaka sasa kuna watu wanaringia gari tena suzuki, aiseee

Kuwa makini na mkeo fanya yako na jaribu kukaa hata miaka miwili hujagusa hiyo gari lake.
 
Very true wazazi ndo wanaharibu mahusiano ya mabinti zao...hataki mkwe masikini means haangalii upendo daah[emoji848]
 
πŸ˜…πŸ˜…@Extrovert unafukua makaburi
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi

Mkuu ndio maana huku ni tofauti na mitandao mingine,ulishajiuliza kwanini watu wanapenda JF na kutumia fake id..
Zinasaidia sana watu wanakuwa free kupata ushauri na mawazo mapya.
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Kwa teknolojia ilipofikia sasa,forums kama JF zimekuwa msaada kwa watu wengi sana,ni njia rahisi ya kuweza kuwasiliana na watu wengi zaidi kuliko hata jinsi ambavyo unge share na ndugu.Hatukatai kuwa kuna ushauri mwingine wa kupotosha,lakini kama lengo ni kupata ufumbuzi huwezi kutoka bila ya kupata msaada wenye kujenga.Ikumbukwe hakuna anayemjua mwenzake ndio maana tunatumia hiden IDs ili mambo yaweze kuwa rahisi zaidi...
 
Ha ha ha huyo ni psychopath
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…