Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Mkuu umefikiria vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu Bulichekah kwa bandiko hili mimi nimeelewa mambo mengi sana ila kubwa kuna mahali umelegalega kama kichwa cha familia kiasi kwamba mke wako haioni Ile nafasi yako tena. Inawezekana akiangalia maisha mnayoishi haoni mchango wako kabisa na hata hilo gari amezawadiwa na watu wasiojulikana kwako

Kumbuka uliambiwa uishi nae kwa akili😁😁
 
Hahahahaaa @gidumunaweza uwa mtu kwa presha wewe
 


Hilo gari atakuwa kanunuliwa na basha lake la kitaa na pengine kapigwa beat na huyo jamaa kuwa asione wewe unaendesha la sivyo hatolilipia gharama ya maintenance. Vumilia tu, ndiyo mademu wa siku hizi walivyo...akipata mtu wa kumuhudumia huko nje wanakuwa na kiburi sana.
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Saikolojia inatuambia kuongea vitu vinavyoumiza moyo wako ni tiba. Kwa hapa jf kwa kua hajataja majina wala kuweka picha huu uzi hauna madhara ila utabaki hapa kuwa fundisho kwa vizazi vijavyo
 
Hii korona na iishe tu, naona nyuzi za wanaume kuleta vilio vyao kwenye mahakama ya JF zimekuwa nyingi sana.
 
Hiyo gari amenunuliwa na msaidizi wako,ambae kwa mkeo wewe ndiyo msaidizi,huyo ndiyo baba mwenye mji.
Jamaa anakasirika akiona wewe unaendesha kwakuwa kamnunulia kimada wake,chunguza utakuja kunishukuru.
 
Hiyo gari amenunuliwa na msaidizi wako,ambae kwa mkeo wewe ndiyo msaidizi,huyo ndiyo baba mwenye mji.
Jamaa anakasirika akiona wewe unaendesha kwakuwa kamnunulia kimada wake,chunguza utakuja kunishukuru.
Kha! Sasa ndio nini hivi Mnondwe tumia basi hata tafsida upunguze makali😂😂😂
 
Hata mm nilikuwa sipendi uendeshaji wa mume wangu na sikuwah kumwamini kabisa uendeshaji wake , alisababisha ajali nyingi sana na hata mwisho alikuja kupata ajali mbaya mnoo

Msikilize mkeo ..elewa anachokurekebisha..kumfundisha haimaanishi utakuwa bora zaidi yake no! Mwanafunzi humzidi mwalimu muda mwingine

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Huyo ni mke au takataka? Kwanza ana umri gani?

Infact, wewe pia una umri gani? I must be honest, kuna utoto na irresponsibility mahali fulani!

Kuwa nae makini sana huyo mkeo ana tabia ya uchoyo na ubinafsi! Jiandae baada ya muda kugawana mali pasu kwa pasu baada ya talaka! Na talaka haiko mbali!

No wonder ni mroho wa chakula pia?

Kwanza huwa mnakula mezani nyie? Au mnajificha ficha tu na mabakuli ya mchuzi uvunguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa faza,kaza sanaaaaaa! Vuta chuma chako na umpuuze na ndingaye! Toa kabisa dalili za kuonekana unaitegemea ndinga yake ktk mishe zako! Tena kwa sasa mbona kuna huduma nyingi za usafiri kama UBER,TAXIFY etc. Kaa humo huku ukizichanga na kuvuta mchuma wako!
 
Shughulika naye vizuri kale ka mchezo - awe anafika mara kwa mara....hiyo gari utaiendesha na yeye kuna muda mwingine atapanda daladala !!

heshima ya ndoa ni muhimu saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…