Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Mkuu mbona kuna masikini wengi tu ndoa zao ziko vizuri, wanaishi na kushirikiana kutafuta riziki
Huenda hukuwa na mipangilio au miiko kumfanya ajue yapi hutaki pengine ukajikuta umemdekezaKwa vipi mkuu?
The Best and the most useful comment, mtoa mada soma hapa uelewe itakusaidiaWakati mwingine msimamie afanye. Kwa mfano kufua, tenga muda toa nguo zote weka sehemu ya kufualia halafu mwite mfue wote.
Kuhusu kitandani nina hofu hata wewe hujaweka mazingira sawa kumfundisha unachotaka. Wanawake wengj hawana tuition ya ndoa, ukimwoa anza kumfunza unavyotaka awe.
Lakini, ndoa ndiyo taasisi kubwa zaidi duniani ambayo haijapewa wakufunzi bora kuijenga. Mjenzi ni wewe. Jitahidi, usikibali kushindwa haraka kiasi hiki.
You are too young to fail.
Huyo mkeo ana pepo mchafu kwa 100%Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Nilioa mpuuzi fulani hivi . Kwanza kane kikwapa. Halafui wala kupika nikakafulumusha kaswahili kaleBut cha kufanya hapo mpe kitu kinaitwa SUSPENSION........unajua hawa viumbe ukikaa nao wanakuzoea sana mpe likizo kidg akikaa kwao kwa mda akirudi atalekebika
Mtaftie kosa...... Af mpe SUSPENSION
Na ya kufuta vumbi tv ipo pia?vipi ya kitandani? na kupanga siting room pia,na kutandika bedroom? ushauri huu wa under age.
Ni hiv,angalia trend,je hii ni tabia yake toka unamuoa? au ameanza karibuni?kama ni tabia yake toka zamani kabla ya kupata watoto hao wawili basi hiyo haiwezi badilika. Ila kama ni tabia mpya itabadilika ukizungumza naye kwa respect.usimfanye yeye kushinda home ndiyo hana cha kufanya.anza
Tafuta tabia nzuri alizonazo na umpongeze na vifurahie.Ongea naye kwa heshima kama mke
Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali,
Nim
Pole lakini nikujuze wake zetu ndo walivo asiye na hili analile so vumilia na kumsaidia kwa vitendo unapoona Jambo la kurekebisha na si maneno.Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali,
Usharu mbovu huu... Mambo ya ndoa ni ya wawili.Sina uhakika na hili ila naomba nichangie
Ni kwamba kama kuna uwezekano mtaarifu mama mkwe juu ya matatizo ya mwanae, iwe kinaga ubaga sana akuelewa. Au sijui utumie mshenga, miiko ya ndoa siijui i stand to be corrected
La msingi Mama mkwe awe someone decent usije kuyakoroga zaidi.