Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

Mkuu kwangu mm mkeo naona hana matatizo makubwa sn.
Mkuu analalamika kunyimwa mbususu wewe unasema mwanamke amemaliza majukumu yake. Seriously!

Angepewa mbususu kila siku asingelalamikia hayo mengine madogo sana. Baada ya kunyanduana ungemwambia kasafishe nyumba, fua nguo na niletee msosi na angetii. Trust me.
 
Yawezekana kabisa mkuu,imagine kufanya kitu kile kile kila siku inachosha na inakuwa haikupi maana ya maisha halafu kingine kazi za nyumbani zinachosha sana tena na watoto wawili[emoji1544]
 
Naona hili ni la busara, kwa kweli kuna wanawake wanakua ovyo majumba yao ovyo na hawana huruma kabisa na waume zao. Nachukia mtu anaona mume wake anapambana kuhudumia familia lkn bado hamthamini mwenzake
 
Timiza yako kwanza, kama yake atimizi msaidie,
 
Yawezekana kabisa mkuu,imagine kufanya kitu kile kile kila siku inachosha na inakuwa haikupi maana ya maisha halafu kingine kazi za nyumbani zinachosha sana tena na watoto wawili[emoji1544]
Haijalishi kazi za ntumbani kuchosha, pumzika amka hyo saa nne anayotaka kisha akiamka afante hizo kazi hata kwa four hrs then apumzike tena
 
Kabla hujamuoa haya yote hukuyaona Mkuu!?
 
Uliwahi kuona hizo tabia kabla hamjaoana?
Kilichokuvutia kumuoa awe mkeo na mama wa watoto wako ni kipi haswa?

Endelea kuvumilia na ujitahidi umuwekee wasaidizi, sidhani kama tabia zote hizo zimeibuka ghafla tuu maana vijana wa siku hizi mnaoa sura na chura
 
Hope umeoa bro uko positive Sana nimependa!
 
Amuwekee wasaidizi ataona usiku anabadilika... kazi za nyumbani nazo nyingi jameni☺☺☺☺
Haswa ukiwa na watoto wadogo
 
Daaa pole sana kwanza kuwa mvumilivu anza kumlekebisha taratibu
Usitafute mchepuko aisee mie namchepuko penz limenoga balaa mchepuko kabeba had mimba nashindwa kumuacha kiufupi ni kama vile na wake wawili tuuu mchepuko una wivu balaaa
Tulia bomu linakaribia kulipuka hilo anza kuandika wosia Mkuu! Kabla nyumba kuu hajakuzungu!!
 
Dah nimependa inatia moyo sana
 
Pamoja nakuwa mkeo anakauvivu fulani,lakini hata wewe unatakiwa umsaidie baadhi ya kazi.Kazi za ndani Ni nyingi na haziishi.Ukitaka kujua ugumu wa kazi za nyumbani huyo mke asafiri akuachie hao watoto hata wiki moja tu,ndo utajua mkeo anachoka kiasi gani.Nakushauri nguo zako fua mwenyewe na kupiga pasi.Vitu vidogovidogo vinavyokuhusu wewe fanya mwenyewe kwakufanya hivyo utakua umempunguzia kazi hivyo hata upendo kwako utaongezeka.
 
Haijalishi kazi za ntumbani kuchosha, pumzika amka hyo saa nne anayotaka kisha akiamka afante hizo kazi hata kwa four hrs then apumzike tena
Ukishakuwa na watoto tena wawili..sahau kupumzika. Kazi haziishi kiukweli, ukiingia huku mtoto kamwaga juice sijui maziwa ukitokea huku huyu kakupandia miguuni ukishtuka saa kumi na mbili hii hapa.[emoji1787][emoji1787]
 
Naelewa sana maana mm ni mama pia wa watoto wawili, lkn hii haiwi sababu ya ndani kua ovyo kupita kiasi. Imagine mume anasema hadi vumbi kwenye meza limejaa , huu sio uchafu wa siku moja. Kuna wakat watoto wanavuruga ndani haswa lkn mtu akiingia anaona kabisa hii nyumba hua inafanywa usafi ila vitu kukaa huku na kule ni vurugu za watoto. Kuna sehem ukienda ukikaribishwa ukae kweny kochi unatamani ueke kitambaa ndo ukae. Meza ukiandika jina linatokea vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…