Yes kuna uchafu kupitiliza wengine hulka yao..solution amwekee msaidizi tu. Mambo mengine madogo ukiona mtu habadiliki unakubali ndo mapungufu yake.Naelewa sana maana mm ni mama pia wa watoto wawili, lkn hii haiwi sababu ya ndani kua ovyo kupita kiasi. Imagine mume anasema hadi vumbi kwenye meza limejaa , huu sio uchafu wa siku moja. Kuna wakat watoto wanavuruga ndani haswa lkn mtu akiingia anaona kabisa hii nyumba hua inafanywa usafi ila vitu kukaa huku na kule ni vurugu za watoto. Kuna sehem ukienda ukikaribishwa ukae kweny kochi unatamani ueke kitambaa ndo ukae. Meza ukiandika jina linatokea vyema
Wazo ni zuri lakin kuna baadhi ya wafanyakazi wa ndani ukikuta nae ni mchafu anafwata upepo wa mwenye nyumba, mwenye nyumba akiwa hapendi uchafu nae anafanya hivyo ila akiwa anaona wala hajali wote wanakua vile vile.Yes kuna uchafu kupitiliza wengine hulka yao..solution amwekee msaidizi tu. Mambo mengine madogo ukiona mtu habadiliki unakubali ndo mapungufu yake
Huyu na uvivu unamsumbua..maana kipengele cha kuamka saa mbili na kuna watoto hii nayo kali. Sijui kazi zake anafanya saa ngapi haki.Wazo ni zuri lakin kuna baadhi ya wafanyakazi wa ndani ukikuta nae ni mchafu anafwata upepo wa mwenye nyumba, mwenye nyumba akiwa hapendi uchafu nae anafanya hivyo ila akiwa anaona wala hajali wote wanakua vile vile. Tabu inabaki pale pale walau huyu mama ajitambue kdg. Imagin mpk mume analalamika mke ni mchafu, unadhani atakua mchafu kiasi gani
Nimecheka kwa sauti. Kwa kweli sijui anawezaje hahahahaHuyu na uvivu unamsumbua..maana kipengele cha kuamka saa mbili na kuna watoto hii nayo kali. Sijui kazi zake anafanya saa ngapi haki.
Mkuu huu ndo ugonjwa wa wana ndoa zilizo nyingi ambapo kitendo cha kusema imawezekana kukaa chini na kuelekezana mapungufu ya kila mmoja huwa hakipo.Kaa nae chini umkumbushe wajibu wake kama mke, mwambie kwa uwazi na upole yote anayotakiwa kufanya.Natumai atabadilika
Duuh!!unyanyasaji tunaoupitia,Wanaumetutaingia mbinguni tukiwa hoi tumechoka na kuchakaa kabisa tukihema na ulimi nje kama jibwa la polisi naona malaika getini akitukokota kutushika mkono tukiwa na magoti yanayogongana
Wapi naweza pata kwa hio bei niachane na ujima kbsaMnunulie mashine ya kufua, ni elfu 95 tu.
Kwakweli mwanzo sikuchunguza sana tabia hizo. Unajua hizo tabia nizoorodhesha ni mpaka mtu uishi nae ndo unaziona vizuri.Uliwahi kuona hizo tabia kabla hamjaoana?
Kilichokuvutia kumuoa awe mkeo na mama wa watoto wako ni kipi haswa?
Endelea kuvumilia na ujitahidi umuwekee wasaidizi, sidhani kama tabia zote hizo zimeibuka ghafla tuu maana vijana wa siku hizi mnaoa sura na chura
Ulimpataje?kabila gani?mnatoka sehemu moja? ana marafiki wa aina gani?anatumia simuHeshima kwenu ndugu zangu.
Sasa Mtani ukikaa kama huoni si ndio unabomoa kabisa?Hii kitu ipo kwa wanawake wengi usiongee sana, ukishaongea naye jambo asipolifanya kaa kama huoni
KWA UFUPI TU HYO SIO MWANAMKE WA NDOTO ZAKO! AKISHINDWA KUBADILIKA YEYE, UBADILIKE WEWE! UKUBALI KUFUA NGUO UPIKE NA UMWEKEE CHAKULA! NAAMINI UTAONA MABADILIKO..🙂Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Kwakweli mwanzo sikuchunguza sana tabia hizo. Unajua hizo tabia nizoorodhesha ni mpaka mtu uishi nae ndo unaziona vizuri.
Na kilichonivutia zaidi ni uaminifu, kwa sababu licha ya hayo yote yeye sio mtu wa mambo mengi, sio rahisi kumtilia shaka kwenye suala la uaminifu, lakini pia muonekano wake ulinivutia pia.
Yap yap nimeoa mkuu.na nimegundua kwa kiasi kikubwa wanaume ndiyo huharibu tabia za wake zaoHope umeoa bro uko positive Sana nimependa!
Asante mama D Nimeelewa sanaEndelea kumpenda mke wako kwa kile alichokuvutia hadi ukamuoa
Wakati wewe unalia kwa hayo mapungufu uliyoorodhesha hapo wenzio wanalia kwa kuibiwa na hata kutunza watoto wasio wa kwao
Ukiendelea kukereka kwa tabia zake utamchukia mwisho utaisha kutafuta mchepuko wenye michepuko kitu ambacho hakitakusaidia
Kazi za nyumbani ni nyingi halafu hazihesabiki, na ukiwa na watoto wadogo ndio kabisaaa hakuna kupumzika! Kama una uwezo mtaftie msaidizi ili usiku asiwe amechoka[emoji2][emoji2]
Kwenda hukoMke ni msaidizi wewe ndo mtendaji mkuu. Pia inawezekana hamkwangui kisawasawa kiasi cha kufika kileleni kama inavyopasa.Mwanamke yeyote usipomsugua barabara ya Sam Mujoma au Mkwawa road hawezi kuchangamka.Ukishindwa nipe namba zake hapa