Hilo nilishawahi kuweka hizo sheria nikiwa anachelewa naeenda kwenye mgahawa Centre kula hakubadilika pia hapo nikama nilimpa unafuu zaidi.Huyo ni wa kuwekea masharti kwamba break fast ikizidi mda fulani utakula mwenyewe,kama huwezi kuwa mwanaume hapo kwako inabidi upike.
Kwangu lunch ni saa saba.
Mambo mengine ni simple tu kuweka sheria
Et nlimpa unafuu zaidiHilo nilishawahi kuweka hizo sheria nikiwa anachelewa naeenda kwenye mgahawa Centre kula hakubadilika pia hapo nikama nilimpa unafuu zaidi.
Sasa kama unaweka sheria inavunjwa unaenda kula mgahawani utasolve vipi hilo tatizo,ashakuona sukariHilo nilishawahi kuweka hizo sheria nikiwa anachelewa naeenda kwenye mgahawa Centre kula hakubadilika pia hapo nikama nilimpa unafuu zaidi.
Mkuu dawa ni kumvumilia tu sina jinsi hivi viumbè ni vigumu sanaa kadili tabia.Sasa kama unaweka sheria inavunjwa unaenda kula mgahawani utasolve vipi hilo tatizo,ashakuona sukari
Niamini mimi kuvumilia umeshindwa ndo maana,ukaleta uzi tafuta suluhu ya kudumu kabla hujapatwa ugonjwa wa moyoMkuu dawa ni kumvumilia tu sina jinsi hivi viumbè ni vigumu sanaa kadili tabia.
Nimepata relief kujua kwamba kuna wenzangu wanapambana na shida kama yangu.Niamini mimi kuvumilia umeshindwa ndo maana,ukaleta uzi tafuta suluhu ya kudumu kabla hujapatwa ugonjwa wa moyo
Mkuu naona ni kama kirema filani huyu hawezi kubadilika kuna namna mbili tu kumuacha hivo hivo kwa kumbumilia au kumpa talaka ila talaka ina ugumu wake kwa sasa.Ni tabia moja ya kipuuzi sana...yani muda wote huo anafanya nini mpk chai saa sita?chakula saa 11...
Chapa viboko huyo Adamke alaa
huyo unaye huyo! Miaka 7 hajabadilika, basi tenaKwahiyo nisubiri atabadilika akiwa amezeeka tayari tumekaa nae zaidi ya miaka 7 sioni mabadiliko yoyote kuhusu hilo.
sikiliza.Mkuu naona ni kama kirema filani huyu hawezi kubadilika kuna namna mbili tu kumuacha hivo hivo kwa kumbumilia au kumpa talaka ila talaka ina ugumu wake kwa sasa.
utacope tu.Binadamu tunamapungufu sana.
Kuna manzi wangu, She is poor in communication hasa text.
Hii tabia sijui vpi, ila ina ni turn off mbaya, nimezoea nikiwa na demu wagu kua na mvua za text ni kawaida.
imefika kipindi na chart na ma x na bestfriend zangu kuliko yeye.
Sometime's nahisi labda hanipendi, lkn nikimchunguza nakuta hata ndugu zake wanamlalamikia hua hawatafuti na kuwasiliana nao ipasavyo.
Kuna siku nilijaribu kumchana, akaishia tu kujisikitikia tu na kusema atabadirka lkn hakuna kitu.
Kama nitaamua kumuoa, Hii tabia sijui ntakabiriana nayo vpi.
Umejua je mkuu kuna ukweli hapo, wakwangu pia ni mchoyo ila kazi za kupika pia ni changamoto hawezi kufanya kazi za ndani kwa wakati pamaoja na kua na uchoyo pia naona wazazi hawakumuanda kujua domestic work.Watu wa namna hiyo ni wachoyo, na ndyo maana unakuta kila kitu kipo lkn hapk kwa wakati. Ni wachoyooo hawataki wengine wale, kuna mmama nayeye nilimshuhudia ujue anajizungushaaa mpka njaa inafanya kukata. Unamuuliza tupike nni anakujibu nitapika usjali, sasa chakula kinaiva saa 11 eti ni cha mchana hapo chai mmekunywa saa 7 yaan kuna wanadamu ni changamoto.
Ila kama unavyosema kuish na mtu awe wakike au wa kiume n changamoto; hasaaa ukijua tumelelewa katika misng tofaut na ndyo tumekutana ukubwani. Ndoa inahitaji uvumilivu, lkn kuna la kujifunza hapa kabla ya kuingia kweny ndoa.Umejua je mkuu kuna ukweli hapo, wakwangu pia ni mchoyo ila kazi za kupika pia ni changamoto hawezi kufanya kazi za ndani kwa wakati pamaoja na kua na uchoyo pia naona wazazi hawakumuanda kujua domestic work.
Interview huo mda utaupata wapi mkuu vipaumbele vyangu vilikia Dini ni dhamu family na uzuri wake kupika nilijua tu atajua tuWakati wa kudate ulipaswa lumfanyia inteview, angekuja hom aandae sotojo....ungejua mapema tu.
Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.Ila kama unavyosema kuish na mtu awe wakike au wa kiume n changamoto; hasaaa ukijua tumelelewa katika misng tofaut na ndyo tumekutana ukubwani. Ndoa inahitaji uvumilivu, lkn kuna la kujifunza hapa kabla ya kuingia kweny ndoa.
Lkn kiukweli kuna jinsi tunafaa kujuana kabla ya kuoana, ili ujue kama kuna madhaifu hayabebeki na huwez mbadili uwe na uamuz sahihi wa kufanya
Eeh!! Yaani ulivyokazania wanawake Wana madhaifu mengi sanaa. Kuna wakina sie, sipendi kupika, sipendi kula😂, maji ungeita mma. Kukataa msaidizi anajua huenda akasaidiwa na mengine kwahiyo Bora akomae na vile ashajua unaendelea kumvumilia , Kuna haja gani ya kubadilika ikiwa anaetaka nibadilike Hana athari kubwa na mimi!?. Hata mimi siwezi kubadilika kama mtu anaendelea kunivumilia.Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.
Hata wanaume mna mapungufu yenu, lkn hatusiti kuwavumilia. Mwisho wasiku kila mwamba ngoma atavutia kwake, sote tuna mapungufu. Ingawa kuna mengine unaweza mbadilisha mtu, kuna watu wanabadilishika ujue.Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.