Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Nakuambia mkuu hapa ni kuuziana mbuzi kwenye gunia, na ukimuacha ukapata mgine unaweza kupata mwenye udhaifu zaidi ya huo, wanawake wanaudhaifu mwingi sanaa.
Hahaha huo udhaifu uliugundua kabla au uliugundua baada ya kumuoa?

Kosa la sita
 
He he he mnunulie vifaa vya jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…