Wanaume tunaisha kwa kasi sana asee!!Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Nchi imejaa MICHOKO kweli hii kama Lucas MwashambwaWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Kama senyenge vile, mama aminaWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Kwani umeshindwa kukuambia kuwa haushibi? anayenunua chakula apo nyumbani ni nani mpaka akupangie, yaani unamuogopa mkeo mpaka muda wa kula ukaanze kula nje?Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Anaemlipa DJ ndiye anaechagua wimbo, acha kulishwa na mkeo amka ukatafute.Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.