MREJESHO...
Kwa ndugu wote hayupo walaA kwa wazazi...
Bado anaendelea kutafutwa..
Nishatoa ripoti Kwenye Serikali za MTAA na Polisi... kwasababu amepotelea sehemu isiyojulikana....hata kwa ndugu yoyote hajafika mpaka sasa ni siku ya pili.
Asante ndugu yangu...inaumiza sana kama mwanauPole sana.
Akikushirikisha huwa unamsikiliza? Unajaribu kumuelewa au unataka maamuzi yote yawe jinsi wewe unavyotaka? Bila shaka anajua ni kupoteza muda kukushirikisha. Na tayari anajua kuwa hauna ushauri wa maana kama ilivyo katika hili la kutafuta kazi. Ungemsaidia kutafuta kazi, yote haya yasingetokea. Badala ya kujirekebisha unataka kumharibia mtu ambae alikuwa anamsaidia.
Amandla...
Sawa naweza kukubali labda tatizo la kwangu...JE Hilo limemfanya apotelee kusikojulikana hata kwa wazazi na ndugu hajafika siku ya pili mpaka sasa kisa kazi?...Akikushirikisha huwa unamsikiliza? Unajaribu kumuelewa au unataka maamuzi yote yawe jinsi wewe unavyotaka? Bila shaka anajua ni kupoteza muda kukushirikisha. Na tayari anajua kuwa hauna ushauri wa maana kama ilivyo katika hili la kutafuta kazi. Ungemsaidia kutafuta kazi, yote haya yasingetokea. Badala ya kujirekebisha unataka kumharibia mtu ambae alikuwa anamsaidia.
Amandla...
una uhakika gani huyo mwanae sio wa jirani yake hapo...mwanamke anayejiamini kuondoka tayari anayo plan BLea mwanao huyo ndio damu yako hatakuacha mpaka kifo n beyond
Kapangishiwa chumba huyoMREJESHO...
Kwa ndugu wote hayupo walaA kwa wazazi...
Bado anaendelea kutafutwa..
Nishatoa ripoti Kwenye Serikali za MTAA na Polisi... kwasababu amepotelea sehemu isiyojulikana....hata kwa ndugu yoyote hajafika mpaka sasa ni siku ya pili.
Sasa hapo imeshakuwa kesi nyingineuna uhakika gani huyo mwanae sio wa jirani yake hapo...mwanamke anayejiamini kuondoka tayari anayo plan B
Siku mbili mbona chache? Amekukatia sio kwa sababu ya kazi bali amekuchoka. Kuna uwezekano mkubwa kuwa ameamua kuondoka kwako na hataki ashauriwe vinginevyo. Kama unampenda kwa dhati, mpe muda hasira zake zipoe halafu mtafute, muombe msamaha na mhakikishie kuwa utabadilika. Na ujue kuwa hata ukifanya hivi hamna uhakika kuwa atarudi kwako.Asante ndugu yangu...inaumiza sana kama mwanau
Sawa naweza kukubali labda tatizo la kwangu...JE Hilo limemfanya apotelee kusikojulikana hata kwa wazazi na ndugu hajafika siku ya pili mpaka sasa kisa kazi?...
Kazi ni sehemu tu ya mambo yaliyomfanya aamue kuondoka kwako. Hajaenda kwa wazazi wake kwa sababu anajua watajaribu kumshawishi arudi kwako. Unatakiwa kwanza ukubali kuwa umemkosea kwenye hili na bila shaka mengi mengine. Ndio ubaya wa kutothamini ulicho nacho mpaka umekipoteza. Na inawezekana kabisa kuwa kuna mtu amemuonyesha thamani yake kuliko wewe. Ikiwa hivyo, itakuwa vigumu kurudi kwako. Itabidi ukubali kuwa ndio mafunzo ya dunia. Muhimu ni kuhakikisha kuwa mtoto wenu anapata malezi anayo stahili na ukimpata mwanamke mwingine mpe heshima zake na usitake kumburuza.JE.kama ni kweli ni Kazi...alishindwa kwenda kulisema kwa wazazi wakatuweka chini kuyaongea
Kuna taarifa nimeipata kwa Jirani mwingine ambaye anafahamu MKE wangu,,,,,ameniambia anafanya kazi ya kuwaagizia mizigo watu mbalimbali,,kwamba wiki moja kabla ya tukio,,,Huyu MKE alimfuata huyo JAMAA kwamba amtafutie machine ya kutengeneza PopCon,,,Siku mbili mbona chache? Amekukatia sio kwa sababu ya kazi bali amekuchoka. Kuna uwezekano mkubwa kuwa ameamua kuondoka kwako na hataki ashauriwe vinginevyo. Kama unampenda kwa dhati, mpe muda hasira zake zipoe halafu mtafute, muombe msamaha na mhakikishie kuwa utabadilika. Na ujue kuwa hata ukifanya hivi hamna uhakika kuwa atarudi kwako.
Kazi ni sehemu tu ya mambo yaliyomfanya aamue kuondoka kwako. Hajaenda kwa wazazi wake kwa sababu anajua watajaribu kumshawishi arudi kwako. Unatakiwa kwanza ukubali kuwa umemkosea kwenye hili na bila shaka mengi mengine. Ndio ubaya wa kutothamini ulicho nacho mpaka umekipoteza. Na inawezekana kabisa kuwa kuna mtu amemuonyesha thamani yake kuliko wewe. Ikiwa hivyo, itakuwa vigumu kurudi kwako. Itabidi ukubali kuwa ndio mafunzo ya dunia. Muhimu ni kuhakikisha kuwa mtoto wenu anapata malezi anayo stahili na ukimpata mwanamke mwingine mpe heshima zake na usitake kumburuza.
Amandla...
Sasa kama anajua Wazazi watajaribu kumshawishi arudi kwangu...Siku mbili mbona chache? Amekukatia sio kwa sababu ya kazi bali amekuchoka. Kuna uwezekano mkubwa kuwa ameamua kuondoka kwako na hataki ashauriwe vinginevyo. Kama unampenda kwa dhati, mpe muda hasira zake zipoe halafu mtafute, muombe msamaha na mhakikishie kuwa utabadilika. Na ujue kuwa hata ukifanya hivi hamna uhakika kuwa atarudi kwako.
Kazi ni sehemu tu ya mambo yaliyomfanya aamue kuondoka kwako. Hajaenda kwa wazazi wake kwa sababu anajua watajaribu kumshawishi arudi kwako. Unatakiwa kwanza ukubali kuwa umemkosea kwenye hili na bila shaka mengi mengine. Ndio ubaya wa kutothamini ulicho nacho mpaka umekipoteza. Na inawezekana kabisa kuwa kuna mtu amemuonyesha thamani yake kuliko wewe. Ikiwa hivyo, itakuwa vigumu kurudi kwako. Itabidi ukubali kuwa ndio mafunzo ya dunia. Muhimu ni kuhakikisha kuwa mtoto wenu anapata malezi anayo stahili na ukimpata mwanamke mwingine mpe heshima zake na usitake kumburuza.
Amandla...
Bado hauaelewa tatizo. Wewe unakazania kumlaumu mke wako wakati tatizo liko kwako. Huyu ni mwanamke anaejitambua na anatafuta namna ya kuacha kukutegemea. Ungekuwa unajitambua ungemnunulia hiyo mashine badala ya kubakia kulalama humu.Kuna taarifa nimeipata kwa Jirani mwingine ambaye anafahamu MKE wangu,,,,,ameniambia anafanya kazi ya kuwaagizia mizigo watu mbalimbali,,kwamba wiki moja kabla ya tukio,,,Huyu MKE alimfuata huyo JAMAA kwamba amtafutie machine ya kutengeneza PopCon,,,
Sasa siku kabla ya kupotea,,, asubuhi wakati anaenda sokoni kuemea mazaga,,,alimpigia Simu JAMAA hiyo machine ampelekee hapo sokoni aione,,,JAMAA kweli alimfikishia ila Kwa bahati mbaya Bei ilikuwa kubwa Hvyo hakununua...kwahiyo JAMAA mzigo alirudi nao...
,....................................................................
Baada ya hapo mwanamke alirudi NYUMBANI mida ya jioni ikatokea mtafuruku kidogo kama nilivyoelezea AMBAPO aliondoka kusikojulikana... Mpaka sasa ni siku ya Pili
Mke wako anatafuta nafasi na muda wa kujipanga. Wakati muafaka ukifika atawasiliana na wazazi wake hata na wewe. Kwa sasa hivi anaona huo muda haujafika. Tumia muda huo kujirekebisha ili kama atarudi kwako asiondoke tena.Sasa kama anajua Wazazi watajaribu kumshawishi arudi kwangu...
Inamaana huko alipo atajificha milele, wazazi hawatojua mazima?????
Shida ni kwamba sikuwa na taarifa yoyote,,,pili nishawai kumuambia aniambie ni kazi anataka anipe mapendekezo ya kazi hata 3,,,ili tuone ya kuanzia...Alisema genge nikamuambia sawa...ngojaa niendelee kulifanyia...huku nikisubiria mapendekezo mengine....Bado hauaelewa tatizo. Wewe unakazania kumlaumu mke wako wakati tatizo liko kwako. Huyu ni mwanamke anaejitambua na anatafuta namna ya kuacha kukutegemea. Ungekuwa unajitambua ungemnunulia hiyo mashine badala ya kubakia kulalama humu.
Amandla...
Bado haujaona tatizo. Una mtreat mke wako kama mwanafunzi au mtoto wako. Badala ya kukaa nae kujadiliana PAMOJA kitu cha kufanya, unampa homework ambayo utaipitia na kumpa maksi. Kwa nini na wewe usifanye utafiti wa biashara YENU?Shida ni kwamba sikuwa na taarifa yoyote,,,pili nishawai kumuambia aniambie ni kazi anataka anipe mapendekezo ya kazi hata 3,,,ili tuone ya kuanzia...Alisema genge nikamuambia sawa...ngojaa niendelee kulifanyia...huku nikisubiria mapendekezo mengine....
NB:Ni kweli nilikuwa nakaribia kumpa Mtaji wa kuanzia,,,nilikuwa surprise ghafla likaibuka tatizo la namba Ile niliyotaka nijue undani....akawa amefanya maamuzi ya KUKIIMBIA...
Ila ukweli nilikuwa nataka nimfanyie surprise ila kwa bahati mbaya pupa yake imemponza
Wanafikiria Hilo sasaunaoa submissive woman wa yes sir hautaki afanye kazi yoyote je ukifa leo nani atalea mwanao ikiwa hautaki mke wako ajiingize katika kutafuta PESA.
Unaoa Mwingine ili wawe watutu.Bado nampenda,,,kuoa haraka hivi itakuwa ngumu,,,,
Na JE ikitokea nimeoa haraka,,,halafu baadae akarudi?