Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
 
Kwa namna anavotanguliza pesa kutatua mambo,
haraka sana fata nyayo za Hakimi, siku si nyingi utalamba joker.
Ni hatari mkuu ana mambo haya kitambo unaweza safiri kikazi ndani unamuachia kila kitu na matumizi pesa unampa yakutosha gafla unaskia mtoto akiumwa je yaan yeye kama mungu atafanya mtoto aumwe yaana anataka Hela ziongezeke umpe
 
Nihatar mkuu anamambo haya kitambo unaweza safiri kikazi ndani unamuachia Kila kitu namatumiz pesa unampa yakutosha gafla unaskia mtoto akiumwa je yaan yeye kama mungu atafanya mtoto aumwe yaana anataka Hela ziongezeke umpe
Jihami mapema kiongozi lolote laweza tokea hawa viumbe hawana huruma wala matumizi ya akili kwenye maamuzi, hisia zake ndo akili yake ukiona kapoteza hisia na wewe jipange kwa lolote.
 
Jihami mapema kiongozi lolote laweza tokea hawa viumbe hawana huruma wala matumizi ya akili kwenye maamuzi, hisia zake ndo akili yake ukiona kapoteza hisia nawewe jipange kwa lolote.
Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
 
Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
kama unakiri hisia zake kwako zimekwisha basi elewa kuwa kuna sehemu amezihamishia hizo hisia, kabla sijasahau lipa faini ya fumanizi.
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Kwao kwel Hakuna Madalali
 
Back
Top Bottom