Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

Kusoma kazi mkuu,hata picha tu huoni?Huyo manzi ako yupo kimkakati balaa,wenzio tuna wake wapigaji ila huyo wako kiboko.
 
Yaani unadhani mkeo hajui kama unapiga huko nje🤣 Mpe hiyo pesa sababu umeshindwa kumuheshimu, yaani hapo kakuambia kikubwa kua Hauna adabu.
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
😂😂 Murife run
 
Itakuwa kila akitaka Hela atapekua simu yako ili alianzishe , umwangukie akupige Hela ndefu kama hivyo
Itakiwa ni desturi ambayo umeianzisha
wewe mwenyewe ya Mtumwa wake.
Usikubali kuwa Mtumwa wa mtu yeyote.
 
Ukiimpa hizo pesa tu , ndoa ishakufa, jipe shughuli au hamisha akili kwenye kazi, kikuu hati zote kafiche kwengine na pin number zako zote badili .
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Mkeo ni Gen Z.
 
Mpe milioni ili na yeye akahonge kijana wa kumkaza

Tumia akili

Analiwa nje huyo,umemfundisha analipiza
 
Umenikumbusha kisa Cha bwege mmoja mjasiria Mali mdogo. Alikua anamla mke wa mtu kila Mara, siku mwenye Mali akagundua na kwakutumia simu ya mkewe kamtext bwege kwamba wakakutane kwenye pori wanapokulaniana saa mbili usiku. Kweli muda ulipofika bwege kamuaga mkewe kwamba anawahi masjid. Mwenye Mali alishatangulia porini huku amevalia khanga na washkaji zake hawakua mbali. Bwege kukaribia alidhani Ni mke wa jamaa huku mtarimbo ukiwa nyuzi tisini tayari kwa kula Haram. Kufumba na kufumbua wapambe wa mwenye Mali wakamdaka. Walimuambia tunajua una duka. Sasa hapa Ni mawili, twende kwako ukatupe milioni kumi mbele ya mke wako au tuendelee na plan B.
Bwege kaona Bora kutoa pesa kuliko hii plan B. Basi wakaenda nyumbani kwa bwege kuchukua milioni kumi kiulaini na kuondoka. Huku nyuma mke wa bwege naye kachukua milioni kumi na kurudi kwao na watoto.
Sasa hivi bwege kafilisika hata mtoto mdogo anaweza kumtuma bangi.
Hiii safi sana
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
acha mbamba mkuu, mpe hiyo hela yaishe.. kabla hajalipeka mbali ukaingia gharama kubwa
 
Umenikumbusha kisa Cha bwege mmoja mjasiria Mali mdogo. Alikua anamla mke wa mtu kila Mara, siku mwenye Mali akagundua na kwakutumia simu ya mkewe kamtext bwege kwamba wakakutane kwenye pori wanapokulaniana saa mbili usiku. Kweli muda ulipofika bwege kamuaga mkewe kwamba anawahi masjid. Mwenye Mali alishatangulia porini huku amevalia khanga na washkaji zake hawakua mbali. Bwege kukaribia alidhani Ni mke wa jamaa huku mtarimbo ukiwa nyuzi tisini tayari kwa kula Haram. Kufumba na kufumbua wapambe wa mwenye Mali wakamdaka. Walimuambia tunajua una duka. Sasa hapa Ni mawili, twende kwako ukatupe milioni kumi mbele ya mke wako au tuendelee na plan B.
Bwege kaona Bora kutoa pesa kuliko hii plan B. Basi wakaenda nyumbani kwa bwege kuchukua milioni kumi kiulaini na kuondoka. Huku nyuma mke wa bwege naye kachukua milioni kumi na kurudi kwao na watoto.
Sasa hivi bwege kafilisika hata mtoto mdogo anaweza kumtuma bangi.
Hili balaa! Bora kubeba malaya!
 
Back
Top Bottom