Mke wangu kafumania SMS za mchepuko, anataka nimpe Tsh. Milioni 1 kumpoza machungu

Umeoa mdangaji huyo.
MKE akipenda hela sana ni rais kuliwa hovyo na pia saa nyingine ukute yeye ana li mtu lake hata hajastushwa na huyo mchepuko wako anatumia tatizo kama fursa.
Tamaa kwa mwanamke huchakaza nyeti za
Kifupi umeoa CHUMA ULETE au M PESA hiyo
 
Ofcoure Hana hisia namim..maana naweza nikakaa kimya mwezi nisimuomne Tendo kumuona atahitaji nae anauchuna Wala hajali Wala nin ndo kwaaza busy na watoto wake
Busy na watoto wake? Wakati anapigwa pigwa nje sana tu!
Hivi mwanamke unamchukuliaje? Akikufuma ukiona kakaa kimya usidhani mjinga wewe una mchepuko mmoja na yeye hasira zake anaenda kumalizia nje huko.
Ndo ile kauli ya Ishi nao kwa Akili! Unavoona hana time na wewe ujue kwamba kuna mtu huko anaichakata vizur tu.
Take care
 
aisee nikweli Kuna kitu nlikiwaza hapo
 
Usipompa atafanyaje? Ili tupime matokeo ya kitakachotokea na thamani ya pesa iliyotajwa.

Yaani sms tu umebanwa ukabananika? Kataa kabisa. Hata uletewe Biblia uape, apa unakataa.

Usikamatwe kiboya hivyo.
 
Sms zenyewe zakuzagamuana
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?

Kama huwa unaingia gharama ya kuwapeleka wengine Guest, ni sawa, mimi ningempa!!!!
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Don't entertain mediocre LIFE.
Jaribu kuwa na cleanest LIFE style

Mfano anakuomba pesa I million Ila, kesho usipo quit hiyo tabia haya mambo yanaweza kutokea

Kuua ndoa (divorce)
Magonjwa (HIV/AIDS)
Negativity 24/7 (mikosi)

Watoto kukosa malezi bora yenye msingi imara.

Ushauri
Try to quit UZINZI
Muheshimu mkeo
Revive ur marriage (Ifufue ndoa yako)

Stop to entertain negativity .✊🏿
 
Huyo anakaa kwa sababu ya pesa na ana hofu mukiachana atapata shida huko kwingine.
Au inaweza kuwa sababu ya yeye kutaka muachane.

Take serious maisha sio gemu la GTA kwamba ukifeli misheni unaweza kurudia.
In real life if you dead, you dead no restart
 
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Mbona sababu ya kutokumpa 1M unayo Bro, unakwama wapi lianzishe kuwa yy ndo sababu!
 
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma sms za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.

Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana time na mimi hata umuhitaji. Wakuu hii imekaaje, mke kutaka hela akikufumania?
Hizi story za kughushi tunapoelekea tutanshirikisha na dci azifwatilie

Msituchosheeee
 
Back
Top Bottom